Arsenal (The Gunners) | Special Thread


nakubaliana na wewe mkuu hilo pia ni tatizo kwa AW tena sugu na si gerv tu sikutegemea kama ramsey angemaliza dk 90 kwa mpira ule aliokuwa anacheza, na pia ni lazima tukubaliane kuwa striking force yetu haiko vizuri kabisa toka msimu huu uanze kwa mf leo hatukufanya attempt yoyote ya maana hasa kipindi cha pili...mkuu hii timu inahitaji mapinduzi ya kimfumo,kisera,kiufundi na kiubunifu pia vinginevyo tuendelee kuwa ma title pretender
 
It's called DOMINO EFFECT, come on you QPR (I can't believe I said QPR)!
 
Wakulu, Arsenal leo imefungwa kwasababu kuu tatu.

1. Wachezaji Sagna, Wilshere, Gibbs, Diaby, Walcott, Rosicky na Oxlade Chamberlain ni majeruhi na anaeonekana atarudi mwishoni mwa wiki ni Walcott peke yake.

2. Santos leo hakuweza kucheza katika kiwango kinachotakiwa na hata mechi na Norwich alikuwa njia ya kupitia.

3. Mertesacker na Vermaelen leo hawajacheza kama mabeki imara na Arsenal katika mechi na Norwich na hii ya leo hawajacheza kama timu na kama wakicheza hivi Jumamosi na QPR mambo yanaweza kuwa mengine kabisa.

Pamoja na hayo AW leo ameshangaza wengi alipomtoa dogo Carl Jenkinson ambae ndie beki aliekuwa hai akishambulia, na pia sehemu ya kiungo leo haikuonekana kwani kuna wakati Arteta alikuwa akitafuta wa kumpa pasi na asione mtu.

Wakati mwingine AW hafahamiki anatoa maamuzi ya aina gani kwani angemtoa Aaron Ramsey na kumuingiza Arshavin na kumuacha Gervinho ambae angekwenda kucheza kulia na Podolski angekuja katikati.

Kesho kuna ile AGM na AW ana kazi kubwa ya kujibu maswali mengi kutoka kwa wapenzi wa timu hii kwani hii perfomance ya leo haikubaliki kabisa.
 


Gunners paid the cost today ... ...
courtesy of injuries ... ..

Naona mashabiki koko wa timu flani wamerudi hapa khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
wacha1 leo umenyweaa.....unacheka timu za wenzio wakati ya kwako bado haijacheza....tena wewe hutakiwi kua unacheka timu zingine maana arsenal itachemsha sana mwaka huu kama ilivyochemsha mwaka jana juzi iliyopita infact since 2005 :happy:
 
AW ni janga kubwa pale Gunners

BAK usiwe na shaka prof. alikuwa jukwaani leo kumaliza kifungo cha toothless bulldog in the name of UEFA. Tutakuwa na wachezaji kadhaa ambao watakuwa fit hapo tarehe 6 mwezi ujao kule kwao tutaona kama watatoka tena ... ... ...prof atakuwa karibu kabisa na proceedings ... ...

 
wacha1 leo umenyweaa.....unacheka timu za wenzio wakati ya kwako bado haijacheza....tena wewe hutakiwi kua unacheka timu zingine maana arsenal itachemsha sana mwaka huu kama ilivyochemsha mwaka jana juzi iliyopita infact since 2005 :happy:


Usiwe na shaka na timu yetu wewe jana si ulihama hadi kipindi cha soka kilipoisha, muulize Fungie anasemaje kuhusu timu yenu ingawaje mna mchezaji mmoja tu wa kukodiwa? Its just a game damn it!

waulize jirani zako wanazuia hadi picha kwa sababu mwaka huu wanaweza kutokucheza kwenye knock outs kisa Husda na wivu kuhusu Gunners ati
'where we dare talk openly' may be to the racist club ... .... ...

Au umetumwa waje wanifungie .. ... .. khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeee

 
CANCER za Arsenal for almost 8 years

1.Hatuna Long range shots na sioni kama itaja kutokea tunapiga pasi getini kwa adui anakuja anauchukua mpira kilaini

2. No plan B arsenal iko too predictable maana sasa timu zimeisoma jinsi ya kuziba njia ebu tizama game za Stock,Norwich na Schakle

3.Haipigi vichwa kwenye set pieces na kona Si ajabu arsenal kupata kona 15 bila mchezaji wake kujaribu kupiga header Labda TV5 na Koscielny wengine hawana muda

4.Kuchelewesha Sub yaani unaweza kushangaa mchezaji ameboronga na akatoka dakika ya 75 au 85

5.Wachezaji Mayai mayai ikicheza na Physical teams huishia kuumizwa na kufungwa

6.Incosistency
7.Arsenal so far imefeli totaly kupata mbadala wa Vieira na True Leader kama Tony Adams

mengine ongezeeni
 
Arsenal kachapwa
Man city kachapwa
Madrid kachapwa
Milan kachapwa
Chelsea alichapwa

What happened this week
Alafu game nyingi Ramsey anazoanza tunafungwa sijui ana gundu..

We will come back though ...😀
 
Absolutely clueless!!!It's time for change-unstoppable.............
 
Hii tim yetu kwa kweli inatuumiza maini sana, wachezaji na kocha mzee Aw ni laini sana, they are not genuine fighters.
 



Testing times: Arsene Wenger spoke at the AGM
less than 24 hours after Arsenal's home defeat to Schalke


Prof at the AGM ... .... ..... amepata full backing kutoka kwa shareholders
ambao wameweka mpunga wao kwenye club .... ..... ...
Je, ni vilabu vingapi vipo open namna hii ... ... Nay .....







 
Where art thou Wacha1 !?? where??!

Vipi niliwaambia mtakuja hapa baada ya kukung'utwa kama gunia kule Ukraine si unaona ... ... .. khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, mkuu chichi tutacheza kwenye knock outs nyinyi Je? mnategemea rehema za mwenyezi mungu sasa, maana Ibramanovick recession bado inamsumbua khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeee

 

Hatuna sababu ya kumtafuta mbadala wa Viera wala Tony Adams ... .... ... ..... wachezaji walio majeruhi kama Diaby, Wilshere, Rosicky, Sagna, Ox na Theo etc . watakapokuwa kwenye timu utaona where we actually belong. Rejea kabla Diaby hajaumia hakuna hata mechi tuliyopoteza, usiwe na shaka CL tuta-qualify, EPL bado kuna point 90 tunaziwania ... .... ... OOoops hata kama mfano leo hii tungekuwa hatuana hata point moja yaani ndio tunaanza EPL tukishinda mechi zote zilizobaki tutakuwa bingwa chacha hii nderemo ya ulalamishi chijui matokea wapi its only two matches at different competitions, bila kusahau prof alikuwa kwenye jukwaa na Bold ambaye sio mzoefu ndio alikuwa kwenye usukani ... ... Usitie shaka wala kusikiliza maneno ya washabiki koko ... ... .... ... .

 

:biggrin1::biggrin1: duuh si mchezo leo nimecheka kweli nilivyomsikia wenger akisema kua champions league place kwa wao ndio trophy...fa cup PL league cup CL yeye hana habari nayo....anachotaka yeye ni awe kwenye top 4 come May.. duuh fergie, RDM or mancini wangesema hivyo wangepigwa chini bt arsene yeye anaongea anachotaka na wanamkubali IN ARSENE WE TRUST..bull shytt
 


Kwa akili yako ndivyo ulivyotafsiri ndio ajabu ya hii dunia masikio unayo uelewa zilch, sifuri, zero khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeee. unaweza kumwelewa prof wewe .. ... ... ...

 
[h=1]Wenger: Champions League qualification is as good as a trophy[/h]
SPEAKING OUT ... Arsene Wenger defended his managerial record at Arsenal's AGM




Published: 8 hrs ago










[h=3]ARSENE WENGER has launched a stunning defence of his Arsenal record, claiming qualifying for the Champions League is like winning a trophy.[/h] The Gunners have been without silverware since 2005 but are in Europe's top competition for the 15th consecutive year.
But speaking at the club's annunal general meeting today, the Arsenal boss said: "For me, there are five 'trophies'.
"The first is to win the Premier League, the second is to win the Champions League, the third is to qualify for the Champions League, the fourth is to win the FA Cup and the fifth is to win the League Cup.

"I say that because if you want to attract the best players, they do not ask ‘did you win the League Cup?', they ask you 'do you play in the Champions League?'."
Chief executive Ivan Gazidis, chairman Peter Hill-Wood and majority shareholder Stan Kroenke were all heckled at the AGM over the club's financial strategy.
Wenger, though, received a warm reception after his address, which had opened with an apology for the back-to-back defeats against Norwich and Schalke.

IN ARSENE WE TRUST, WENGER WENGER WENGER WENGER :happy::biggrin1:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…