Hahahahaha yani mi nkuchumubie af ugomvi wetu muu discuss na mashosti zako??!
Utakuwa mke mbishi sana wewe uko mbeleni lol!
Sihami hapa mpaka charge iishe
wACHUmBA nyie...
kimbia faster,kamwite na peasant!Wachumba zetu hamjambo??!
Mlizani Mikel ni sawa na Kolo Toure??!
Chezea CHELSEA nyiee...
Hahahahaha yani mi nkuchumubie af ugomvi wetu muu discuss na mashosti zako??!
Utakuwa mke mbishi sana wewe uko mbeleni lol!
Sihami hapa mpaka charge iishe
wACHUmBA nyie...
Chonga ngenga mingi saana.... lakini Hatukimbii sisi ndo Gooners sio kama nyie mkipigwa wote huwa mnaingia chimbo.......
kimbia faster,kamwite na peasant!
Wakuu sijaona game ila naona matokeo ya kustusha dah .. itabidi nitafute recorded .. tutakwenda kuwakamata kwao kama season iliyopita
Akina hamjambo...mpo?...nimepitia tu....:frusty:
Hahaha! Alidhan 'invinsibles' n kazi rahis ka ku dive? Shenz, na msimu huu arsenol waisahau top five...mark my words."We can create the next Invisibles" that was VERM after beating SOTON 6-1..... The Invisible my A S S .....
Kaka, punguza uchokozi...
Yule Giroud yale mabao anayokosa hata mke wangu Janeth anaweza kufunga. Shenz na nusu zake...ila nyie mshazoea ugonjwa moyo, nthng new there.
Wacha fujo zako, mwambie Mungiki brother aende kwenye thread yake, amebaki kuwa Invisible tu ... ..... kale ka-young diver unakumbuka kalisema nini kalipo kuja kwenu?
khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Ngoja tuangalie Rider cup tu sasa.