Sio Sagna peke yake mkuu kuna santos nae kwa Gibbs, na hapo kati ndio tuna utitiri wa good players just imagine anarudi Jack na Frimpong all of sudden tuna benchi ya kujidai, hata Scezny nae anakuna kichwa maana Mannone anacheza poa tu.Bacary Sagna atakuwa akifikiria sana ujio wa Carl Jekinson maana dogo ame-improve kinoma.
Hii ndio technical advatage ya Wenger na mameneja wenzake kwamba anachukua unknown players na kuwafanya wawe wachezaji wa maana ma watambuliwe.
i love the fact that Jekinson he is slapping me all over my face sababu nilikuwa mmoja ya wale watu wasiomkubali kabisaa but he's getting gud day by day .... well done son! jenk -insane! All aboard the Jenk bus! .. COYG!Bacary Sagna atakuwa akifikiria sana ujio wa Carl Jekinson maana dogo ame-improve kinoma. Hii ndio technical advatage ya Wenger na mameneja wenzake kwamba anachukua unknown players na kuwafanya wawe wachezaji wa maana na baadae wanambuliwa.
i love the fact that Jekinson he is slapping me all over my face sababu nilikuwa mmoja ya wale watu wasiomkubali kabisaa but he's getting gud day by day .... well done son! jenk -insane! All aboard the Jenk bus! .. COYG!
Bacary Sagna atakuwa akifikiria sana ujio wa Carl Jekinson maana dogo ame-improve kinoma.
Hii ndio technical advatage ya Wenger na mameneja wenzake kwamba anachukua unknown players na kuwafanya wawe wachezaji wa maana na baadae wanambuliwa.
Huyu jamaa kwa kuwin zile through balls namkubali sana. Pasi zake pia zimenyooka. Ukimuona utadhani mzembe mzembe kumbe mashine!!Per mertasakar ndio habari ya uingereza hutaki unaacha!!!
Huyu jamaa kwa kuwin zile through balls namkubali sana. Pasi zake pia zimenyooka. Ukimuona utadhani mzembe mzembe kumbe mashine!!
..I can only think about the Judas Iscariot.....what the hell is going on in his skull right nw?
..I can only think about the Judas Iscariot.....what the hell is going on in his skull right nw?