lakini tutafurahia sare hadi lini jamani?"The Arsenal faithful even mocked their City counterparts' "Poznan" celebration, by turning their backs to the pitch and bouncing up and down when Koscielny found the net"
Hahahahah..
Sare kwa timu kubwa siyo mbaya. Kumbuka msimu uliopita tuliloose games karibia ya zote za top four. Cha muhimu ni kuhakikisha tukikutana na vitimu vidogo tunaviangushia mvua ya magoli kama tulivyofanya kwa Southamptonlakini tutafurahia sare hadi lini jamani?
ila vijana walipigana kiukweli jana...
Sare kwa timu kubwa siyo mbaya. Kumbuka msimu uliopita tuliloose games karibia ya zote za top four. Cha muhimu ni kuhakikisha tukikutana na vitimu vidogo tunaviangushia mvua ya magoli kama tulivyofanya kwa Southampton
naamini vijana wakipigana kama jana...sura zetu zitaonekana mjini hapaSare kwa timu kubwa siyo mbaya. Kumbuka msimu uliopita tuliloose games karibia ya zote za top four. Cha muhimu ni kuhakikisha tukikutana na vitimu vidogo tunaviangushia mvua ya magoli kama tulivyofanya kwa Southampton
Usihofu sana na hizo sare ni bora kuliko kufungwa.lakini tutafurahia sare hadi lini jamani?
ila vijana walipigana kiukweli jana...
lakini tutafurahia sare hadi lini jamani?
ila vijana walipigana kiukweli jana...
dah kweli wale jamaa balaa...ila tulipigana kweliTumetoa sare na mabingwa wa Ligi, hilo ulikumbuke.
He is now thinking about winning trophies with Man U. The kind of thinking he didn't have at Arsenal
Turudi nyuma,tulikuwa tunam-force wenger kununua central back mpya,situation ya sasa tu inamchanganya wenger nani akae benchi na nani acheze.