Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
Gervinho naye ni bure kabisa.......Wanakera kweli hawa watu
Toa Diaby, Ramsey na Gevinho..........Ingiza Coquelin, Walcot/Giroud na The Ox
Yaani hapa kiroho juu tena kaingia huyu Tevez.Sioni dalili za kurudisha bao hapa, sana naona hatari ya kuongezwa lingine kwa counter attack
Mkuu ramsey kacheza kiwango kinoma chance mbili za wazi tumepoteza Gibbs na madread huyu hata ku2liza ameshindwa!
Ramsey anatakiwa atoke aingie CoquelinRamsey Back in Midfield ......Gervinho kushoto na Walcott Kulia........Mbele pale ni Giroud......May be it can work out in our favor....
huyu gervinho vigoli vyake ndo vinamtia wazimu anashindwa kuwatengenezea nafasi wenzake na kulazimisha kufunga yeye bado wenger anaangalia utumbo huu tu