Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tunahitaji Ox na Walcolt uwezo wa kurudisha na hata kuongeza tunao. Mechi bado haijapotea, muhimu tusichapwe la pili kwani kibarua kitakuwa kigumu
 
Tuache witch hunt mbona dogo kakamua poa tu?

Mkuu, mechi ambazo Arsenal imecheza za PL hawakuanza na Ramsey.

Sasa unapocheza na hizi timu kubwa ni lazima first XI iwe imekamilika. Ramsey ni utility platey na sio main player.

Kwa hili Wenger anafahamu amekosea.
Afadhali Wilshere anarudi hii itamsaidia Carzola na Diaby.
 
Tangu 2nd Half imeanza tumezidiwa kiungo.........Tunashambuliwa.....

Diaby kapwaya na anapoteza mipira hovyo...............Coquelin ni bora kuliko Diaby (Tunda la msimu)
 
Sioni dalili za kurudisha bao hapa, sana naona hatari ya kuongezwa lingine kwa counter attack
 
Wanataka kumuingiza Tevez,Wenger naye afanye sub,mwenye namba yake tumpigie.
 
mabadiliko yanahitajika japo babu kajikalilisha mpaka dk70 vinginevyo ibaki kama entertainment tu ili tuendelee kuimba kale ka wimbo ketu
 
Back
Top Bottom