Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,382
- 10,951
Poor marking by Arsenal defence.....
Hakika mabeki ya Arsenal hawakujipanga vizuri. Kwanini Mets alikuwa hajafanya marking ya wachezaji warefu wa Shitty?
Poor marking by Arsenal defence.....
Dah.....wameshaanza.lol @ gooners as usual//
Bado mpira dakika nyingi tu.Wametuchapa sasa dah, yale yale ya "the operation was successful but the patient died!!!!
kaka hii tim haipendeki..Dah.....wameshaanza.
Wametuchapa sasa dah, yale yale ya "the operation was successful but the patient died!!!!
Nimekupata mkuu!!!!Bado mpira dakika nyingi tu.
AW sometimes sijui anafanya kusudi.Ushabiki huu.......Yaani restless kabisa hapa nilipo..... Tushaumia kimoja....AW alikua ana winning team lakina kaona haifai kaja na Ramsey wake ambae si mmbaya kwa kweli so far........Am still hoping for come back......
Ushabiki huu.......Yaani restless kabisa hapa nilipo..... Tushaumia kimoja....AW alikua ana winning team lakina kaona haifai kaja na Ramsey wake ambae si mmbaya kwa kweli so far........Am still hoping for come back......
kaka hii tim haipendeki..
Half time...safi sana arsenal kwa kandanda safi.
Kuna kazi kurudisha hili goli na ukizingatia nafasi nyingi zimepotezwa.
Weger ajaribu kumwingiza Oxlade Chamberlain asaidie kasi ya kutafuta goli, Ramsey bado ni dhaifu na Gervinho nae atolewe.