Once a Gunner....Always a Gunner.....
Haijalishi.....
Yehuuuuuuuuuuuuu! hatimaye baada ya mashambulizi ya nguvu na ya muda mrefu
Hakuna munkari kamanda....Umesema kuwa shabiki wa Arsenal inataka moyo ndo nikakwambiaPunguza munkari kamanda. Gemu yenu hii. Nyinyi tu mnashindwa kumaliza.
Tunaweza kupata ushindi.Sasa hapa tunaweza hata kupata ushindi beki inatakiwa utulivu