Goooooaaaaaaalllllll......mtalia leo 9'
Naona podolski amefanya tabia sasa kila match anafunga.. hehe
Hawa wetu tu!Hii 2nd half si njema kabisa so far....... Jamaa wanatubana kinyama...
Huyu Cabella kwa nini hakushiriki Olimpic??? He is a pure DIVER..... funy enough the ref waves away bila hata YELLOW?????????????????
Naona Koscielny wamemuweka kiporo kwa ajili ya Mancs.