Wacha1
JF-Expert Member
- Dec 21, 2009
- 16,676
- 8,246
kwa kubahatisha hamjambo!...huh!
We kazi yako kuchungulia tu, ulikuwa unaangalia mpira upi? Ngoja mechi yenu ndio kitanda cha Judas khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
kwa kubahatisha hamjambo!...huh!
kwa kubahatisha hamjambo!...huh!
tupeni yanayojiri jamani, nasikia kelele tu baa jirani yangu
kwa kubahatisha hamjambo!...huh!
Tunabahatisha nini bidada BJ,we are not relying on cheap penalties,we win through fighting!kwa kubahatisha hamjambo!...huh!
We kazi yako kuchungulia tu, ulikuwa unaangalia mpira upi? Ngoja mechi yenu ndio kitanda cha Judas khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Nyinyi huwa hambahatishi? LOL. Sio bahati peke yake BJ.
WALIMPA MPUNGA LAKINI IMEKULA KWAO POINT 3 NA GOLI MBILI ... ..... ... Nasikia Mancs kala 3 - 2 .. .... ..
Hahahahaaaaaaaaa......Nyie kesho..... Tuone kama nanyi mtabahatisha..... ila bahati mara kwa Miaka 16 Mfululizo...aaaaaahhh BJ give a credit whenever its due.......
Tunabahatisha nini bidada BJ,we are not relying on cheap penalties,we win through fighting!
Okay kwa kuwa umenisisitiza, hongereni kwa ushindi ila wa kubahatisha..! he he he
Kesho nitakuwepo sana mpaka kipenga cha mwisho. Chezea Man U wewe!!
Nyie mnajulikana wazee wa bahati..ila hongereni, safari bado ndefu..wenyewe mtasherehekea kama vile mmetinga fainali, bado sanaaaaaa!!
Najua utakuwepo ila kwa Kuchungulia sio FULL
Mie, aaah mbona full visible..utaniona hata tukifungwa nitakuwepo kwa sana..Mwanzo mzuri mmeuonyesha leo gunners!!
AC Milan0 - 0AnderlechtFT Borussia Dortmund1 - 0AjaxFT Din Zagreb0 - 2FC PortoFT Malaga3 - 0Zenit St P'sbgFT Montpellier1 - 2ArsenalFT Olympiakos1 - 2Schalke 04FT Paris SG4 - 1Dynamo KievFT Real Madrid3 - 2Man CityFT
Its a WIN not a BIG WIN, am Happy... but what makes me sad ni kumuona KOS akiwa Bench, The guy is superb.... Basi tu combination ya PER na VERM imetokelezea.... Aerial balls kwa sasa tunatisha.... ni bahati Mbaya B'Burn hawako kwenye EPL.... I wish wangekuwepo nikaona this time around wangechezaje under BIG sam
Chris Brown on Twitter:"Lucky lucky Arsenal, but I'll take it every time. Podolski was magnificent this evening, all over the pitch, worked like a Trojan."
source: bbc
Big sam yuko West Ham united na wamo EPL