Namshukuru Mungu mpira umekwisha na tumeshinda....naomba kufuta kauri yangu ya utabiri wa kufungwa.
Kama kuna mtu nimemkwaza basi achukulie ni mambo ya soccer tu and nothing more
Leo naona hatutolala Wacha1 akija na Picha zake za Thesun dah! tehtehteh Balatanda leo naona atairudia Game mara 100. mie leo Channel za Sports wala magazeti sitaki kuyaona.
Leo naona hatutolala Wacha1 akija na Picha zake za Thesun dah! tehtehteh Balatanda leo naona atairudia Game mara 100. mie leo Channel za Sports wala magazeti sitaki kuyaona.
Tuache utani unajuwa Mtu wa Mguu wa Kushoto ukiona mguu wake wa Kushoto umetulia ujue ni balaa kama mtu sifa zake apewe bila Unazi Yule Carzola kiboko. Mpira sana ukichunguza Asilimia nyingi ni mguu wa Kulia na hawatumii kabisa mguu wa Kushoto ila ukimuona mtu wa Mguu wa kushoto anacheza mpira hajui kutumia mguu wa kulia unaweza kukasirika na kutaka kumtukana Mfano "Downing " ila Carzola bila kutumia Mguu wa kulia ni Kiboko sasa sasa aguse mguu na wakulia wachezaji kama hao utawapenda kina Zidane!.