Arsenal (The Gunners) | Special Thread

sasa mkuu siasa za nini..? tofauti zenu za kisiasa peleka jukwaa la siasa.. acha tu enjoy soccer
Sawa wakuu, nimewaelewa....naombeni mnisamehe bure. Back to the topic
Hivi kwa mtazamo wenu ni kweli tunaweza kutoka kifua mbele from Anfield?
 
sasa mkuu siasa za nini..? tofauti zenu za kisiasa peleka jukwaa la siasa.. acha tu enjoy soccer
Bora umemwambia. Amevamia jukwaa halafu bado analeta habari zisizohitajika hapa.
 
What a miss by Suarez...........Kama kawaida yake, anadive.....lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…