mtotowamjini
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 4,525
- 1,177
Mkuu, haya ni maneno ya kunifariji tu ili nisikate roho....lakini ukweli ni kwamba leo hatutoki paleaah wapi wala usiogope kihivyo...liverpool wana only one senior striker...wamemtoa andy caroll bila kufikiria kumleta mwingine..mkimkaba luiz suarez basi hakuna kitu pale..gerald ashazeeka...nyie pale mkicheza game lenu vizuri mnashinda..
I hated seeing Robin score for United
Wenger forked out £24million on Olivier Giroud and Lukas Podolski to fill the gap left by Van Persie, who scored 30 Premier League goals for the North Londoners last season.
On the pitch, we look a team who is ready to fight together. At the moment I do not want to put too much pressure on them. You have to give players who have come in a bit of time to adapt to the league.
Acha kuwa na roho ya plastic rafiki,game tunashinda leo na O.giroud lazima acheke na nyavu at least goli moja,leo naenda cheki mechi nikijiamini sana kama penguin juu ya barafu.Mkuu, haya ni maneno ya kunifariji tu ili nisikate roho....lakini ukweli ni kwamba leo hatutoki pale
Timu yetu sio mbovu kiasi cha kukata tamaa namna hiyo. Baada ya dakika 90 utarudi na tabasamu hapa.Mkuu, haya ni maneno ya kunifariji tu ili nisikate roho....lakini ukweli ni kwamba leo hatutoki pale
Mweleze huyo....Acha kuwa na roho ya plastic rafiki,game tunashinda leo na O.giroud lazima acheke na nyavu at least goli moja,leo naenda cheki mechi nikijiamini sana kama penguin juu ya barafu.
Dalili zote zinaonyesha kuwa leo ni lazima tutafungwa na Liverpool siyo chini ya goal 3.
Kwa hii mechi ya leo huitaji kwenda kwa mganga wa kienyeji kwenda kupiga ramli...ukweli ni kwamba hatutoki.
Yaani tumejitahidi sana labda droo....lakini twaweza fungwa goal 3-1 au goal 2-1. Utaki unaacha
Arsenal in full: Mannone, Jenkinson, Mertesacker, Vermaelen, Gibbs, Arteta, Diaby, Cazorla, Oxlade-Chamberlain, Giroud, Podolski.
Few Minutes to GO!!!!!!
Kikosi kizuri sana hikiArsenal in full: Mannone, Jenkinson, Mertesacker, Vermaelen, Gibbs, Arteta, Diaby, Cazorla, Oxlade-Chamberlain, Giroud, Podolski.
Few Minutes to GO!!!!!!
Naona Walcott hayuko hata kwenye sub leo.......Si mchezo
HahaaaaaaaaaSubs: Koscielny, Martinez, Coquelin, Santos, Ramsey, Walcott, Gervinho.
Mkuu, siyo uoga! bali naongea ukweli toka ndani ya nafsi yangu....hapa leo hatutoki labda droo.najua umewapima kutokana na ile match kutoka kwa man city .. acha uonga ... wao wapo 11 na sisi 11