Mjue Nuri Sahin.
Ni raia wa Uturuki na ana umri wa miaka 23.
Maskauti wa Arsenal walimgundua Sahin alipokuwa akichezea timu ya taifa ya vijana ya Uturuki mwaka 2005 kule nchini Peru, kwenye mashindano ya kombe la dunia la vijana chini ya miaka 17.
Ni mchezaji wa kwanza mdogo kucheza ligi kuu ya Germany Bundesliga akiwa na miaka 16 katika timu ya Borussia Dotrmund.
Akiwa Dortmund alicheza na Thomas Rosicky kwahio itakuwa rahisi kuonyeshwa mazingira ya Arsenal.
Sahin akiwa Borussia Dortmund katika msimu wa 2010/11 BD walitwaa ubingwa wa Bundesliga na Sahin akatangazwa mchezaji bora.
Msimu wa 2011/12 nchini Hispania ndipo Real Madrid walipomsajili ingawa hajacheza msimu mzima kutokana na kuumia.
FACT 1: Not good enough to break into Madrid first eleven.
FACT 2: Arsenal is now relying on the loan deals, a sign of a club in decline.
fact # 2 - si kweli kwanini usajili wake unasuasua sababu tunataka kumchukuwa permanetly na kuna uwezekano asije kabisa since madrid wanataka mkopo tu! habari nimetoa daily mail hii -
Sahin saga takes new twist with Liverpool set to beat Arsenal to loan of midfielderThe on-going transfer saga of Real Madrid's Nuri Sahin has taken another twist as Liverpool and not Arsenal look set to land the midfielder.The player's agent, Reza Fazeli, travelled to meet the Anfield club's hierarchy and iron out the details of the deal.
On Monday it looked as if a deal had been done to take the player from the Bernabeu to Arsenal but Madrid changed the course of events when it told the playmaker that the Gunners were unwilling to accept a loan deal and were pushing for a permanent transfer.And neither Madrid nor Sahin himself were happy with this arrangement.And now Liverpool, who were the first club to show an interest in the player look to be back in the driving seat.
Arsenal ni zaid ya uijuavyo! mkuu! club makini hana nia ya kukaa baada ya loan mlango upo wazi ..
source Nuri Sahin set to join Liverpool and not Arsenal | Mail Online
Sahin saga takes new twist with Liverpool set to beat Arsenal to loan of midfielder
FACT 1: Not good enough to break into Madrid first eleven.
FACT 2: Arsenal is now relying on the loan deals, a sign of a club in decline.
FACT 1: Not good enough to break into Madrid first eleven.
FACT 2: Arsenal is now relying on the loan deals, a sign of a club in decline.
Ndio ujue hali ni ngumu... Tangu lini ukasikia arsenal chelsea man u orr liverpool wanachukua loan deals ulikua husikii hiyo zamani mh mambo magumu saivi
Arsenal wamesign wachezaji watatu hujasema. Ila wanamtaka mmoja kwa mkopo, eti club in decline. Arsenal hakuna shida wewe. We spend wisely.
Alafu, Sahin amesign Madrid last season na tangu afike ameandamwa na majeruhi. Sio rahisi kwa mtu kubreak kwenye 1st team kama amekua anaumia wakati wenzake wanapata a run of games. Ila kwa kuwa unataka kucriticise kila kitu cha Arsenal, endelea.
TEVEZ miaka miwili aliokaa OT mlikuwa mmenunua? napo mambo yalikuwa Magumu kwa Man Utd?
Du sasa hii nini tena!!
Tevez yule ni kampuni nafikiri fergie hatakaa anunue player mwenye complication ka yule, yeye agent wake wana demand hela za ajabu we unafikiri babu angetaka kumnunua asingeshindwa lakini wale wana issue fikiria ac milan madrid kuna kipindi walikua wanamtaka lakini demands zao zikawashinda only city cud afford him ndo mana mpaka leo yuko pale anataka kuondoka lakini hakuna pa kwenda bt huyo player arsene anamtaka on loan is nowhere near what tevez was at that time na mkicheza liverpool watamnunua
1 ) Morinho hapendi arsenal + hampendi wenger kumbuka ile issue ya ashley cole arsenal vs chelsea .. morihno alivyotuzunguka mlango wa nyumba hatimaye wakapigwa fine
2) wataka tulipe 70% ya mshahara wake 120K per week! ni pesa ambayo arsenal kamwe hawawezi kutoa! arsenal hatuna ma suger dadies ni club inayoendeshwa na principle zake na limitation ya kiwango cha mshahara .. asiyetaka huwa anaoneshwa mlango ..
3) Issue ya kumnunua moja kwa moja nacho ni kipengele ambacho madrid hawataki .. yaani mchezaji wao, aje goners ku improve, tumlipe 70% ya mshahara, mwisho wa mwaka yupo hot arudi madrid! .. wenger sio kichaa kiasi hicho..! kama akija arsenal ujue kuna benifit goners wataipata! .. ila tutasajili mchezaji 1 au 2 kabla ya dirisha kufungwa wenger alishasema...
COYG!

Tatizo sio Demand za Ajabu issue ni Alikuja Man Utd kwa Mkopo wa miaka Miwili huku akimilikiwa na West ham na agent wake hapo ndio napopataka we timu yako iliwahi kumnunua TEVEZ??...aliponunuliwa Na city aliuzwa na nani Man u? ACHA UJANJA UJANJA issue si kumnunua mwisho wa load Deal na kama Madrid hawataki kumuuza baada ya Loan na aende Liverpool tutanunua wengine! Kumkosa mchezaji kwenye Transfer hata Mamadou Diarra,Dinho,Moura,paul Gascoine "gazza",patrick kluivert, alan shearer wote almanusra waje OT ila mkapigwa Bao...bisha tena na hapa
1 ) Morinho hapendi arsenal + hampendi wenger kumbuka ile issue ya ashley cole arsenal vs chelsea .. morihno alivyotuzunguka mlango wa nyumba hatimaye wakapigwa fine
2) wataka tulipe 70% ya mshahara wake 120K per week! ni pesa ambayo arsenal kamwe hawawezi kutoa! arsenal hatuna ma suger dadies ni club inayoendeshwa na principle zake na limitation ya kiwango cha mshahara .. asiyetaka huwa anaoneshwa mlango ..
3) Issue ya kumnunua moja kwa moja nacho ni kipengele ambacho madrid hawataki .. yaani mchezaji wao, aje goners ku improve, tumlipe 70% ya mshahara, mwisho wa mwaka yupo hot arudi madrid! .. wenger sio kichaa kiasi hicho..! kama akija arsenal ujue kuna benifit goners wataipata! .. ila tutasajili mchezaji 1 au 2 kabla ya dirisha kufungwa wenger alishasema...
COYG!
Mkuu, umeongea mambo ya muhimu sana kufuatilia na ni vizuri sisi wapenzi wa Arsenal tukiwa tunaona haya.
Nuri Sahin alikuwa London Jumatatu jioni akitaka kumalizia utaratibu wa usajili na hata kukaandaliwa hafla ya upigaji picha na jezi ambayo angevaa.
Lakini sula la mawakala kuharibu wachezaji lipo na wakala wa Sahin ambae anatoka Uturuki kama Sahin, alikuwa bado akiwasiliana na Liverpool na wakati huo huo akimshawishi mchezaji huyo kuzingatia tofauti ya 115k za Arsenal na 120k, pamoja na umuhimu wa kuchezea timu kama Real Madrid.
Arsenal walikuwa tayari kumlipa hizo 115k kwa wiki na juu ya hiyo uwezekano wa kumnunua kabisa pale atakapomaliza miezi 12 ya mkopo ambapo walitaka iwe milini 14.
Kwahio ukiangalia pia kuna sababu zingine.
1. Real Madrid hawataki Sahin aende Arsenal timu ambayo ipo kwenye champions league pamoja nao kwani kutakuwa na faida zaidi kiufundi kwa Arsenal.
2. Brendan Rodgers alifanya kazi na Mourinho wakiwa Barcelona na imekuwa rahisi kuwasiliana mara kwa mara.
3. Ni maendeleo ya wale "haters" ambao siku zote wapo kuona Arsenal hawafanikiwi kwa mipango yao ya kutumia jasho lao kujipatia faida badala ya kutafuta Sugar Dadies, kwani wapo "bus"y kuwasiliana wakijua ikiwa Arsenal wanapata another enforcer kwenye kiungo basi wana " technical advantage".
Hivyo bado Arsenal wana akiba ya kutosha kufanya usajili wa kushtukiza na utawashangaza wengi ifikapo ijumaa ijayo, na Wenger amesema leo kwamba atanunua wachezaji ikiwa pia kama watafanikiwa kuwauza wachezaji kama Arshavin, Bendtner, Squillachi, Djourou, Fabianski, Walcot, na pia kupata timu za kuwachukua kwa mkopo wachezaji wadogo kama Ramsey na Coquelin ambao bado wanahitaji uzoefu wa kutosha.
In Arsene we Trust.
1) Kama kawaida wazee wa kulialia mko busy kuplay victim card. Eti Mourihno hampendi Wenger kwa sababu ya issue ya Ashley Cole, why not the opposite?!
2) Kumbe wewe ulitaka upewe mchazji wa bure na usilipe kitu, hata mshahara wakati anachezea timu yako?! Lazima uchangie sehemu ya mshahara, tatizo mnapenda na mmezoea vya bure kupita kiasi.
3) Mbona unaongea kama vile Madridi ndio wana shida wakati ukweli ni kwamba Arsenal ndio wana shida zaidi. Hauwezi kuwalazimisha Madrid wauze wakati hawataki, wao ndio wenye mchezaji hivyo ndio wanapanga terms za biashara, kama hauwezi unaacha unaangalia kwingine sio kulialia kuwa Mourihno na Madrid wanawaonea Arsenal. Kumbuka jinsi Arsenal mnavyong'ang'ania bei ya juu mnapouza wachezaji wenu kwa timu nyingine, sasa leo mnapangiwa bei nyie mnaona kama mnaonewa sana....WANAFIKI.
Mkuu Richard punguza kulia na kujifanya victim kila wakati. Reasoning yako hapo mwisho (3) kwanmba kuna haters wanawafanyia roho mbaya inapingana kabisa na sababu ulizosema hapo juu kwamba agent wa Sahin ndio alikuwa na influence kwenye kufanya decision. Nashangaa sana inakuwa vipi mtu unaweza kuandika vitu viwili vinavyopingana kwenye same issue?
Are you sure Sahin is enforcer?!
1 ) Morinho hapendi arsenal + hampendi wenger kumbuka ile issue ya ashley cole arsenal vs chelsea .. morihno alivyotuzunguka mlango wa nyumba hatimaye wakapigwa fine
2) wataka tulipe 70% ya mshahara wake 120K per week! ni pesa ambayo arsenal kamwe hawawezi kutoa! arsenal hatuna ma suger dadies ni club inayoendeshwa na principle zake na limitation ya kiwango cha mshahara .. asiyetaka huwa anaoneshwa mlango .. 3) Issue ya kumnunua moja kwa moja nacho ni kipengele ambacho madrid hawataki .. yaani mchezaji wao, aje goners ku improve, tumlipe 70% ya mshahara, mwisho wa mwaka yupo hot arudi madrid! .. wenger sio kichaa kiasi hicho..! kama akija arsenal ujue kuna benifit goners wataipata! .. ila tutasajili mchezaji 1 au 2 kabla ya dirisha kufungwa wenger alishasema...