mtotowamjini
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 4,525
- 1,177
Mapato ya Club ni kuuza t-shirts,mapato ya Television,Wadhamini wa jezi,tickets,CL,Stadium naming rights, trophies zina pesa ila sio main source ya income...Tickets za msimu mzima za arsenal peke yake mpaka jana zilishauzwa robo tatu ingia skysports, au thesun
Tickets zimepanda sana bei msimu huu mpaka ma fans wanalaumu kwa Tafiti zilizofanyika na Katika mafans 10 pale UK 9 wanalalamika kushindwa ku afford up to 15% price increase na kuna uwezekano wa Viwanja vingi kutojaa...ARSENAL INAKUWASHA SANA pole
nahisi nitapigwa BAN kwani kuna shabiki anajifanya "anajuuua" kama wenzake tumeanza tizama mpira majuzi? wengi wao wameanza kuzipenda timu zao wakati wa Glory time...sitaji timu naishia hapa Lol
Sasa arsenal inaongeza bei za ticket kwa kigezo gani wakati hawajashinda kombe miaka 7 na wachezaji wanakimbia
Mkuu kwa case ya SONG ambaye last week ali tweet kuwa anafuraha na maisha ya arsenal na hatarajii kwenda popote, kumbuka SONG alitengeneza magoli 11 kati ya magoli 30 ya Van persie, kumbuka Song ndo top assist wetu wa last season (Wenger anasema Diaby is back; MAMAKE Diaby hafiki hata robo ya Song) - SITAMSAMEHE WENGER MAISHA YANGU YOTE - IMENIUMA KULIKO HATA RVP, Wenger ameshapotea kimbinu ( ananunua chipkizi waki mature na kuwa kwenye peak anauza - anaanza kuunda timu upya), makocha wangapi tunawaona wana quit kwa kuwa board za timu haizfanyi watakavyo. WENGER + KROENKE OUT. NA NAKUAPIA MKUU; CHINI YA WENGER ARSENAL HAITASHINDA EPL, FA CUP, WALA UCL. Kombe pekee tunaloweza kupata chini Huyu MAMAKE ni EMIRATES CUP
maneno kama hayo waliongea before kuhusu van persie.... kuhusu song .... walewale waliokuwa wakiongea hayo maneno now wanakuja kulalamika mbona tunawauza ni world class players! .... tabia za kigeu geu ni za ma plastic fans! kama wale jamaa Le-grove! pedro na kundi lake ! walimpiga sana vita song hatulii kulinda kwenye defense ni worse player! van made of glass anakula mshahara wa bure leo hii wamemgeukia wenger why you are selling our world class players .. hebu muacheni wenger afanye kazi yake!
Ukiachana na cazorla daiby jana was one of the top performer
WENGER KNOWS!
kwa Song nakubali hakupaswa kuuzwa kwani alitoa assist nyingi na alikuwa 2nd perfomer after RVP! Tuachane na jazba na ushabiki...je Ndo kiungo mkabaji Arsenal tunaemhitaji? PAMOJA na hayo we conceded 49 goal thanx for our DM na mabeki na mengi ni Counter attacks
Kama AW ameahidi kuleta Mchezaji wa kumreplace hapo sawa na awe kariba ya Tiote,Makelele,De jong,Vieira...hatakiwi kuwa Dribbler pasi moja inatosha,Good Tackler on 50-50 balls,Defensive minded (vitu ambavyo song hakuwa navyo) na mwisho our defence was exposed saana
RVP aling'ang'ania kwenda zake! Mi naomba awamalize wote makinda waliokuwa wametengeneza timu mwaka 2008-2011 awekeze kwa "Matured" players kama anavyofanya sasa ni 25 years+ Per,santos,arteta,Tv5,Arshavin,Cazorla,Sagna,Podoski,Giloud,Gervinho na alete wengine watu wazima aachane na vitoto
Song doesn't have a twitter a/c. Cha pili ni kuwa alisema anataka nyongeza kubwa ya mshahara lasivyo anaondoka.
Sijui kama wanakuelewa. 'Defensive minded', tunafurahia assist 11 lakini lack of defensive cover when full backs support attack made us concede 49 goals last season. Saying that, a real DM has to come in.
Mkuu ni kweli kuwa Song hakuwa kiungo mzuiaji mzuri, na kama Wenger angetumia pesa kutafuta replacement nzuri, tungekuwa na hope; cha ajabu ktk interview ya juzi anasema haitaji kusajili kiungo kwani anawachezaji 9 sehem ya kiungo (akawataja, Diaby,Frimpong,Wilshire etc) they are coming back, ukiacha Wilshire ambaye we can build a team around him...na isitoshe ni majeruhi anayetarajiwa kurudi end of october. We can not compete tukiwa na diaby/ Frimpong/Ramsey - simply... they are not good enough
Usimuongelee Frimpong wakati hujaona perfomance yake in a long run. Unakumbuka wakati Song anacheza mechi ya kwanza Arsenal? Alichemka, akazomewa mpaka ikabidi atolewe halftime. Lakini Wenger alikua na imani nae. You may make jokes about Diaby but you can't write him off, trust me.
Alafu kuhusu Wenger kusema hanunui kiungo kwa sasa. Nakumbuka aliwahi kuulizwa kama atamsajili Cazorla, akasema wala hajui Cazorla ni nani and look who is running our miedfield.
By the way, WILSHERE is making good progress and is expected as early as September. By good progress I mean, training. I hear he personally wanted to start playing next week but Arsenal don't want to rush him back.
Nuri Sahin From Real Madrid anaripotiwa kuwa ndo anatarajiwa kuziba pengo la Song. Another average player wa kumkuza ili kumuuza for higher price, and will win us nothin.
Kwahiyo Song ni world-class? Nuri Sahin alikua kiungo na captain wa Dortmund wakati wanachukua ubingwa mbele ya Bayern. Kukaa bench madrid ambapo Alonso na Khedira wapo form haina maana ni average player.[
Minal faidheen kaka; Enjoy your Eid, and be blessed.
Winners dont sell their best players, and replace them with average players - ni aibu hata Totts can keep hold of their best players ( kama Bale na Modric wangekuwa arsenal wangeshauzwa long time). Una msubiri Wilshire in September, au una msubiri Frimpong akuze kiwango. hutaki point za August na Early September.
Kwahiyo Song ni world-class? Nuri Sahin alikua kiungo na captain wa Dortmund wakati wanachukua ubingwa mbele ya Bayern. Kukaa bench madrid ambapo Alonso na Khedira wapo form haina maana ni average player.
Mkuu ni kweli kuwa Song hakuwa kiungo mzuiaji mzuri, na kama Wenger angetumia pesa kutafuta replacement nzuri, tungekuwa na hope; cha ajabu ktk interview ya juzi anasema haitaji kusajili kiungo kwani anawachezaji 9 sehem ya kiungo (akawataja, Diaby,Frimpong,Wilshire etc) they are coming back, ukiacha Wilshire ambaye we can build a team around him...na isitoshe ni majeruhi anayetarajiwa kurudi end of october. We can not compete tukiwa na diaby/ Frimpong/Ramsey - simply... they are not good enough
I'm done with this. It is a holiday after all. Eid Mubarak
Kaka Nuri sahin ni average player???? are watching football? haya hao Tottenham wamemkomalia Modric yako wapi? kagomea mazoezi sasa je huyo atakuwa form kweli?? Ebu nitajie wachezaji waliouzwa na Arsene wenger bila wao kutaka....give me the List please
wao wanadhani world class player lazima anunuliwe kwa bei mbaya! sana.. haha
wao wanadhani world class player lazima anunuliwe kwa bei mbaya! sana.. haha