RICH OIL SHEIKH
JF-Expert Member
- Jan 2, 2012
- 883
- 169
Kama unasoma posts zangu utajua nilisema kua man u are the most profitable club in the world na sio tu coz of 75000 fans wanaoingia old trafford every wk bt shirt sales worldwide sponsors ka DHL na wengineo.. Bt winning trophies helps alot wenger hajashinda kombe since 2005 alafu bado mna over price match tickets why?
unaboa kwa kujifanya u much know broda...sunderland ni timu ngumu nilipata hofu ya umakini wako uliponambia Hukumjua Arteta mpaka alipokuja Gunners "eti alikuwa bench warmer St.goodson park" alafu ukasahau nani alikuwa top perfomer Euro 2008 baada ya David Villa? Kama si Arshavin nani mwingine? Yaani Unazi unazi tu kwenye ukweli husifii we kukashifu timu za wengine Kuna Ulazima wa MAONI YAKO HAPA? Kama Arsenal si kitu mbona ukiingia JF break ya kwanza hapa?
NOT AFC anymore...Wenger ameifanya imekuwa ASC i.e ARSENAL SELLING CLUB. Ntabaki kuwa mshabiki wa Arsenal ..ila sitaifuatilia mpaka Wenger afukuzwe. THE TEAM,THE BOARD, THE COACH ...ALL LACK AMBITION
I see........
Haya bana......
Arteta if he was that good mbona chelsea city utd barca na madrid hawakumfukuzia na hata wenger mwenyewe mbona alimnunua ile dakika ya mwisho? Haya basi ngoja niishie nisije kukuboa zaidi.. Tutakutana old trafford november :happy:
Nimependa hili jibu maana watu wengine wana sharwala inawawasha wanatafutia watu ban bure!!
:biggrin1: nawaongelea
nyie kwa sababu namiss nyie kua watani wetu wakuu.. Man city ndio our
main rivals bt i miss ile mshike mshike kati ya wenger na fergie
wenger tunamwonea ingia Football News, Gossip & Transfer Rumours | The Sun page ya arsenal na Uisome barua ya Ulisher usmanov kwa Board ya Arsenal
AW he is an employee not a Majority shareholder (stan kroenke) au mwenyekiti (Peter hill-wood) wanampangia then anafanya kazi wanayomwambia kwisha! TOP 4 ndio malengo yao nae anatimiza why Afukuzwe? IN ARSENE I TRUST
Jirani hongera kwa pointi
na kumpata Carzola.
Watu hupenda kuja hapa kwa sababu washabiki wa Arsenal (wengi wao, si
wote) wanachonga sana. Hivyo ni natural process kwamba wanavutia
wapinzani kuja kuwapa stick kila inapotokea nafasi, ni swala tu la
ushindani (rivalry), nothing more.
Wenger alisema u need to win majority of ur home games against lesser teams if u want to win the league or b competitive.. Sasa drawin against s'land na wengine wa chini kama last year alafu ukija kucheza na man u au man city bado mnafungwa top 4 mtaiona kweli?
Mkuu kwa case ya SONG ambaye last week ali tweet kuwa anafuraha na maisha ya arsenal na hatarajii kwenda popote, kumbuka SONG alitengeneza magoli 11 kati ya magoli 30 ya Van persie, kumbuka Song ndo top assist wetu wa last season (Wenger anasema Diaby is back; MAMAKE Diaby hafiki hata robo ya Song) - SITAMSAMEHE WENGER MAISHA YANGU YOTE - IMENIUMA KULIKO HATA RVP, Wenger ameshapotea kimbinu ( ananunua chipkizi waki mature na kuwa kwenye peak anauza - anaanza kuunda timu upya), makocha wangapi tunawaona wana quit kwa kuwa board za timu haizfanyi watakavyo. WENGER + KROENKE OUT. NA NAKUAPIA MKUU; CHINI YA WENGER ARSENAL HAITASHINDA EPL, FA CUP, WALA UCL. Kombe pekee tunaloweza kupata chini Huyu MAMAKE ni EMIRATES CUP
Song was good but he haven't even got the form of FLAMINI or Vieira not to mention Gilberto...inauma sasa ufanyeje? Hamia City kwa muda nitaku PM tukishika kasi tena! Aaaa aaaa aaa
Wenger alisema u need to win majority of ur home games against lesser teams if u want to win the league or b competitive.. Sasa drawin against s'land na wengine wa chini kama last year alafu ukija kucheza na man u au man city bado mnafungwa top 4 mtaiona kweli?
Mkuu mi si plastic fan... im a gooner 4 life, Diaby is the worst of them all, and he is made of glass, sijui kama atafika geme 10 hajaumia kwa miezi 6, there is no justification in selling Alex Song. 4th spot/ finishing above Spurs has been a trophy for us, and will always be Under Wenger/Kroenke. Kwa game ya jana na zile friendlies, i see the same old story - 4th spot is our trophy again. IN WENGER I DOUBT
Mkuu mi si plastic fan... im a gooner 4 life, Diaby is the worst of them all, and he is made of glass, sijui kama atafika geme 10 hajaumia kwa miezi 6, there is no justification in selling Alex Song. 4th spot/ finishing above Spurs has been a trophy for us, and will always be Under Wenger/Kroenke. Kwa game ya jana na zile friendlies, i see the same old story - 4th spot is our trophy again. IN WENGER I DOUBT
kwa Song nakubali hakupaswa kuuzwa kwani alitoa assist nyingi na alikuwa 2nd perfomer after RVP! Tuachane na jazba na ushabiki...je Ndo kiungo mkabaji Arsenal tunaemhitaji? PAMOJA na hayo we conceded 49 goal thanx for our DM na mabeki na mengi ni Counter attacks
Kama AW ameahidi kuleta Mchezaji wa kumreplace hapo sawa na awe kariba ya Tiote,Makelele,De jong,Vieira...hatakiwi kuwa Dribbler pasi moja inatosha,Good Tackler on 50-50 balls,Defensive minded (vitu ambavyo song hakuwa navyo) na mwisho our defence was exposed saana
RVP aling'ang'ania kwenda zake! Mi naomba awamalize wote makinda waliokuwa wametengeneza timu mwaka 2008-2011 awekeze kwa "Matured" players kama anavyofanya sasa ni 25 years+ Per,santos,arteta,Tv5,Arshavin,Cazorla,Sagna,Podoski,Giloud,Gervinho na alete wengine watu wazima aachane na vitoto
Hauko sahihi...
Arsenal sio watani wakuu wa Man Utd kwenye EPL...
Watani wakuu wa Man Utd kwenye EPL ni Man City...
Watani wakuu wa Arsenal katika EPL ni Tottenham Hotspurs na kwa mbali jirani zetu wa London Chelsea, West Ham, QPR etc...
Ni kama ilivyo kwa Liverpool na Evaerton....
Arsenal ni washindani wa Man Utd kwenye ubingwa EPL kama ilivyo kwa Chelsea,Man City,Liverpool etc...
Bala.
maneno kama hayo waliongea before kuhusu van persie.... kuhusu song .... walewale waliokuwa wakiongea hayo maneno now wanakuja kulalamika mbona tunawauza ni world class players! .... tabia za kigeu geu ni za ma plastic fans! kama wale jamaa Le-grove! pedro na kundi lake ! walimpiga sana vita song hatulii kulinda kwenye defense ni worse player! van made of glass anakula mshahara wa bure leo hii wamemgeukia wenger why you are selling our world class players .. hebu muacheni wenger afanye kazi yake!
Ukiachana na cazorla daiby jana was one of the top performer
WENGER KNOWS!