Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
Nimeipenda sana hii.............lolBe respectful and bow down when you're speaking to the King of Europe. You seriously needs to see your doctor, it's obvious that the dust at Emirates Library have caused malfunction in your brain cells.
Unaweza kuwa sahihi na 'Public Forum'..........Hii ni public forum, kila mtu anaruhusiwa kuchangia bila kujal itikadi. After all, this's "Strictly Come Dance with Fat Arses Forum", so expect us on here.
Arsenal kumuuza Van Persie ni sawa na serikali Dhalimu ya CCM inavouza rasilimali zetu...
Rasilimali zingetusaidia sisi na vizazi vyetu vijavyo.
Van Pesa angewasaidi msimu huu na hata msimu ujao.
Kuhusu kuwa mfungaji bora ni swala lingine mkuu, lakini kama atakuwa fit anakipaji cha kutosha kuwa effective ndani ya Man United bila kutegemea mfumo wa kucheza.
Na pia Ferguson ana uwezo wa kubadilisha style hili Van Persie aweze kutoa mchango wake vizuri.
Van Persie ni mchezaji mzuri, bahati mbaya kaona kwamba malengo yetu hayaendani na yake, muhimu ni kumshukuru kwa mchango wake japo katupa shukrani ya punda baada kumuuguza kwa mda wote huo.
Pamoja sana na kama kawaida Arsenal itaweza kugombea nafasi ya juu bila Van Persie.
Another captain abandons sinking ship!!
Viera
Henry
Fabregas
RVP
Who's next?!
Unaweza kuwa sahihi na 'Public Forum'..........
Ni vizuri ukasoma post ya kwanza kwenye thread hii "
Jamani humu ndani tutadiscuss klabu yetu ya Arsenal na kubadilishana mawazo jinsi gani tunavyoendelea".......Hii ni thread maalum kwa ajili ya Arsenal ambapo lengo lake ni kuwapa wana Arsenal nafasi ya kuijadili club yao......Na hili ndilo lilipelekea wengine mkaanzisha thead za Chelsea,Man Utd,Man City,Liverpool etc kwa lengo hilohilo la kujadili timu zenu,sasa kwa nini mnaacha kujadili timu zenu na kuacha thread zenu na badala yake kutwa kucha mko hapa tu mnatunyima hata nafasi ya kuijadili timu yetu!!!!.....Hi si haki hata kidogo jirani........Nadhani itakuwa busara endapo itaanzishwa thread mahsusi kwa ajili ya EPL(vilabu vya EPL) ambayo nadhani ipo ambayo itatumika kujadili vilabu vyote na hapa mkatuachia wana Arsenali kuijadili timu yetu jamani akina Ngoswe ambao daima mabo yetu huachiwa sisi wenyewe.....
"Jamani humu ndani tutadiscuss klabu yetu ya Arsenal na kubadilishana mawazo jinsi gani tunavyoendelea".

COYG
Once a Gunner, Always a Gunner............
USHAMBA UNAMSUMBUA alafu hajulikani katokea wapi????? kakomaliaaaa umanjunjunwake..........go and tell the red nose coach to leave away RVP coz he is'nt coming dude!!!!!
who knew Koscielny? Varmaelen,Oxlade,Song,Hleb,Ade,Nasri na Traitor RVP watakuja wataondoka Nobody is bigger than a Club! We move on
Let us be realistic and Honest
Rvp kuondoka si ishu sana we are used to it ishu ni kwenda MANURE kwani hatujawauzia player since 1981
upande wa pili Arsene amefanya biashara nzuri kwani 2003 alimpata kwa £2.75mil pale fayenood na kamuuza £24 mil na tukumbuke he is 29yrz old+injury prone(plastic bones)+1 year remaing on the contract
yet hakuna season tulipoteza wachezaji bora kama mwaka 2005-2006 Vieira na Edu(free to valencia) still tukafika UCL final kitu ambacho hakuna aliyetegemea, mwaka jana Cesc na Na$ri waliondoka na tukayumba mechi 10 za mwanzo ila 3rd place tukaipata kuliko hata chelsea na Liverpool waliotumia pesa lukuki na bado wakawa nje ya UCL zone
Rvp ni mchezaji mzuri ila kwa Pesa aliyonunuliwa "ARSENAL WAMEULA" kwani jamaa hana Resale value pale hata akiflop au akaumia kama Wale double Owen..
Henry aliondoka 2007 still Adebayor akafunga goli 30 season iliyofuata then Hakuna cha kutukatisha tamaa wengine watastep na watafanya Vizuri
Mwakani kuanzia 2013 na kuendelea UEFA wata implement FINANCIAL FAIR PLAY rules timu italipa mishahara na Transfers kwa pesa za Ticket,jezi,wadhamini,mapato ya Television na Trophies+UCL hakuna pesa za mafuta tena hapo wala mkwanja wa Mifukoni...akina Flamoney,na$ri,greebayor...enzi zao zitaisha mishahara ya Kufru pale City,chelsea itatoka wapi?
CLUB ni kubwa kuliko mchezaji Kila la heri RVP ila suala la ambition ni Uongo umefuata Pesa za mshahara wa £220,000 kwa wiki kwani Tumesajili 3 world class players
La RVP limekwisha tuanze ligi Jumamosi bila kinyongo
We are shocked for RVP to sign for our Scondolous enemy team but this happened before...Remember Luis figo from Barca to R.madrid in 2001, Fernando Torres from Liverpool to chelsea, Alex mcleash from coaching birmingham to Aston Villa,Sol campbell from Spurs to Arsenal in 2001 any many Others
Hakuna jipya chini ya jua
Mwache aende tu, atuondolee rabsha. Vijana wa kazi wapo. Na bahati mbaya, akishaondoka anakua mpita njia kama Adebayor. Hakuna kwingine watakapomthani kama hapa. One season or two and he will be shown the way out!
Kama hamumtaki si mtupe jamani? Huyo carzola ndio atafunga 20goals plus kwenye premier lg? Nyie vp hamna rvp sioni yoyote atakayeweza funga magoli yote hayo
Wee unasema kwa kujifurahisha, kama uliangalia mechi yetu na Cologne wala usingekuwa nunasema haya, tulishinda goli 4 bila msaada wa nRVP aliingia na hakutoa pasi ya goli wala kufunga goli-sasa hivi gooners huwa ni historia tuna mtu anaitwa Podolsk in case umesahau!!
Baki ivyo ivyo na macho yako umuone akiitungua Sunderland hiyo jmosi!Huyo podolski hajafunga goli hata moja premier lg wakati rvp hes a proven goalscorer mtamkumbuka sana rvp season hii.. Tuone podolski atakua vp akiwa anacheza na timu ka za stoke everton west ham nucastle.. Yangu macho