Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hapa leo tutamkumbuka Arteta na madongo yake ya mbali. Tunataka kuingia na mpira mpaka ndani ya nyavu
 
Diaby nae anaingia badala ya Rosicky maana hajafanya mazoezi wiki hii kutokana na kuumwa mafua.

Ila leo kajijahidi kucheza kwa bidii.
 
Chelsea wana matumaini ya kushinda mechi kule Spain na kupata nafasi ya kucheza tena Uefa CL mwakani, hakika hii ni ndoto mbaya sana.

Wanataka kutoa sare leo hii ni dalili ya kushindwa kufikiri.
 
Ila tufahamu kuwa Newcastle na Tottenham wakishinda leo basi tutakuwa tumewazidi 2 points only, na hio ni hatari.
 
.....hizi changes (both teams) kama ingekuwa mchezo wa tennis, basi advantage ingekuwa kwa Chelsea....

Hapa wanatuvizia counter attack tu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…