Richard
Platinum Member
- Oct 23, 2006
- 16,636
- 25,617
Na mechi sita ambazo Totenham watacheza kuna mechi na timu kama tatu hivi ambazo zinachungulia championship.
Kwahio wana kazi kweli ya kuhakikisha wanashinda mechi hizo.
Hata hivyo boss wao Redknap amefanya makosa kusajili wachezaji ambao wapo chini ya viwango, na matokeo yake yanaonekana.