McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,388
- 7,551
Gd results, sasa naweza kupata usingizi wa pono,
Yeah,for sure hata nguvu ya kucheki msimamo wa ligi inakuwepo.
Gd results, sasa naweza kupata usingizi wa pono,
Yeah,for sure hata nguvu ya kucheki msimamo wa ligi inakuwepo.
Arsenal uingereza ilikuwa inasumbuliwa na Man Utd pekee. Kwa kocha ilikuwa mourinho ila kwa sasa mwiko umevunjwa.
Wenger alibugi kumchezesha Ox ile game ndiyo maana baadhi ya wachezaji waligundua mchezo mchafu mfano Sanchez.
Hadi sasa naamini arsenal wana kikosi kizuri kuliko timu zote bali matumizi tu .
Update hamna wajamenii??
Wapigwe tu kwakweliArse 4 -bate 1
Wazee wa Futuhii
Wazee wa Futuhii
Siyo kichekesho ila burudani na ushindi na siku kama ya leo huwa nacheki futuhi ila j4 na j5 ni EUFAKichekesho ni kwamba unaweza kukuta wewe ni shabiki wa Chelsea,Liva au Man u.
Siyo kichekesho ila burudani na ushindi na siku kama ya leo huwa nacheki futuhi ila j4 na j5 ni EUFA
Giroud become 5th player kufunga goli 100 chini ya kocha AW,mpaka sasa OG anaungana na:-
Henry
Bergkamp
RVP
Walcot