Arsenal (The Gunners) | Special Thread

HAPA TUMELAMBA DUME

b51c3e0185ef6ffb4af29ce40ce0946f.jpg
 
Inainesha humjui vzr mbappe,au umemwangalia game hazizid 2
Tatizo sio simjui,au nimeangalia game 2,hana hadhi ya hela hyo asilani,,wanampamba tu,wacgezaji wa kuvuma msimu mmoja kisa kaghara aaaaah sio kwel,,,huyu haingii hata nusu kwa Emerick Aubomeyang,,haingii hata robo lukaku wa everton,wala sijamtaja Keane maana nitakua naaibisha mpira.. Ana kipaji ila sio kwa hela hyo,naona wafaransa wanataka wachezaji wao wawe ghali tu dunian,ndio walichobakisha hawa,,jmesahau Payet walisema ni £60ml,,haya yupo wap?? Kisa tu aling'ara kwa msimu mmoja bhaaas,,. Wenger akimnunua kwa gharama hzo nitamdharau saana,kuna watu wanakupa goli30+ kila msimu na hawajafika hela hzo za kiuwendawazimu
 
Mbappe ana deserve kwa hiyo hela

Umri wake mdogo sana,

Ana skills

Ana nguvu za kupambana na beki yoyote yule(pamoja na umri wake)

Ana mbio

Ana chenga pia

Anajua kufunga katika mazingira yoyote yale

USIMFANANISHE MBAPPE NA LUKAKU

labda kane ,

Yaani mbappe ile ni habar nyingine ,
 
Labda kweli babu ataumbuka, ila tuseme AW hakupewa mkataba ingekuwaje?! Makocha/Mameneja wa uhakika wote wako kwenye mikataba, alitaka tukae bila kocha/meneja?!
Yote wivu tu, yeye alitegemea angepewa nafasi pale, AW alimpiga chini, wanadai alimwambia ajifunze kwanza ukocha, akiiva poa, sasa yeye ka mind, yawezekana pia ni swala la Tony Adams kuuza kitabu chake, ambacho sidhani hata kama kimepata soko kihivyo, mambo ya Yesu na Yuda kwenye hili...TA hana shukrani kabisa...
Kila timu aliyofundisha Tony Adams kachemka,ukitaka timu yako ifanikiwe msikilze Tony Adams halafu mpuuze
 
Mbappe ana deserve kwa hiyo hela

Umri wake mdogo sana,

Ana skills

Ana nguvu za kupambana na beki yoyote yule(pamoja na umri wake)

Ana mbio

Ana chenga pia

Anajua kufunga katika mazingira yoyote yale

USIMFANANISHE MBAPPE NA LUKAKU

labda kane ,

Yaani mbappe ile ni habar nyingine ,
Amefanya hiv kwa misimu mingap? Tutamwona na msimu huu,,yaan siwez mfananisha hata na lacazatte maana jamaa anapiga goli20+ every season..

Labda umri tu ila kumbuka lazima uwe world class player uweze kuuzwa kwa bei hyo,,huyu umri ndio unambeba ila aje kiumen epl utaona atakachofanya.. Anastahili dollar 25 ml.bhas
 
Ni uendawazimu kumnunua Mbappe 95ml,,kwa kipi haswa?
Nakubaliana na wewe, his price tag is overrated. Kacheza msimu mmoja tu bado hajawa na experience n ni mdogo pia. Ndio maana Wenger akashauri dogo atafute timu ambayo atakuwa na uhakika wa kucheza, otherwise kwa price tag hiyo he's overrated.
 
Back
Top Bottom