Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,547
- 10,273
wahenga wanasema "tikiti bovu limo shambani mwako "inabidi ustahmili tu hakuna namna ndo maana kama mnavyokuja kwetu kutufariji waqt wa dhahma nasi huja kwenu ingawa wengine wanakuja na maneno makali inabidi kuvumilia ila yasichupe mipaka.hahahahahahah lol! mahusiano sitakagi ujinga ujinga Mkuu. Huko sina uvumilivu kama niliokuwa nao kwa The Gunners.