Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Am happy for yesterday, game niliicheki nilishindwa tu kuungana nanyi live hapa wapendwa.
Kama sio yale makosa tuliyoyafanya ktk mechi zile 3 juzikati hapo huenda leo tungekuwa tunaongea mengine.
Sio case...will forever and always be a Gooner
[HASHTAG]#COYG[/HASHTAG]
 
Mlisema Novemba mkatabiri Desemba naona u-sheikh Yahya umehamia Feb haaaa haaaa vumilieni tu ndo HAKI ilivyo inachoma choma ila hakuna namna.
Ikipita February wanatakuja na March Wenger out ,,,,ha ha ha ha naona wengi waliombea arsenal apoteze Ila mungu sio wenu tu hata sisi tuna mungu pia
 
Mlisema Novemba mkatabiri Desemba naona u-sheikh Yahya umehamia Feb haaaa haaaa vumilieni tu ndo HAKI ilivyo inachoma choma ila hakuna namna.
IMG_20170123_092654.jpg

Mwisho wa league ndio tutajua mbivu na mbichi.

Na Pale Prof Wenger Atakapojiongezea Miaka Mingine Ya Kutosha Ya Kuendelea Kuwapa Maumivu.
 
View attachment 462914
Mwisho wa league ndio tutajua mbivu na mbichi.

Na Pale Prof Wenger Atakapojiongezea Miaka Mingine Ya Kutosha Ya Kuendelea Kuwapa Maumivu.

Tatizo ni hasa maana hauleweki chief...?rudia tena ni mwezi feb au mwisho wa ligi,ni Arsenal au AW nini hasa tatizo ambalo unatamani kuliongelea?
Naona umekosa kabisa jambo la kupunguza stress za w'end iliyopita kila ukikumbuka tumesepa na kijiji bila kutarajia.
 
Me sina tatizo mzee labda kwenu maana kusema tu fabregas anaenda kuchukua medal yake ya 2 mmekuja mmekuja juu kwelikweli sina presha na timu yangu kama ilivyo kwenu naomba tuishie hapa kwa leo na karibu mtori.
 
ramsey trtbu naon anaanz kuchez kw umakini dimba l kati ,jana wameshrikian vzur n xhaka..
 
Hivi namba 6 unapata wapi jeuri ya kujinasibu. Baada ya SAF (salute kwake) Manyua hawawezi kiwa wale tena. Mzimu wake ni mkubwa sana na utaendelea kuitafuna. Wa kuiokoa team kwa sasa sio MOU wala ndugu yake nani bali Wale waliopata mafanikio chini ya SAF hapo namzungumzia mtu Kama Gigs ambae anajua kushinda kwa utamaduni wa Manyua na sio Mou.
 
sawa bingwa
 
Back
Top Bottom