Inartia
JF-Expert Member
- Aug 24, 2016
- 1,284
- 1,305
Hakuna cha uzuri wowote! Semeni nyinyi ni ndezi! Subirini wanaume watakavowashughikiaLeo hali inaweza kubadilika. Hawa 'boro wapo vizuri sana leo.
Hakuna cha uzuri wowote! Semeni nyinyi ni ndezi! Subirini wanaume watakavowashughikiaLeo hali inaweza kubadilika. Hawa 'boro wapo vizuri sana leo.
Poyeeeee jamani lakini bora nusu Shari kuliko Shari Kamili. ..... kesho natoka na ushindi wangu sina wasiwasi tumejipanga vizuri tu,vitimu vidogo nomaaaa sana ila nimesikitika hamjatenda fair kny birthday ya baby.....Leo siyo nyie tu si unaona Hata Hotspurs na Everton.
Hehehe nimeionaMiddlesbrough wanacheza kwa kujihami lakini dawa yao ipo inachemka.
Tumekuwa ndezi tena...hahaha..!Hakuna cha uzuri wowote! Semeni nyinyi ni ndezi! Subirini wanaume watakavowashughikia
Kumbe mkuu nini? Tena mushukuru leo mlikua na bahati sana vinginevo mungekula 3 bilaTumekuwa ndezi tena...hahaha..!
Baada ya matokeo yetu leo, nachotaka ni draw kati ya Chelsea na Man Utd kesho. On the second thought hata mmoja wao akifungwa inaweza isiwe mbaya sana kwetu. Ligi bado mbichi. Naona Loserpoop wako mbioni kushika usukani wa ligi hadi kesho.
dua lako halitupati kesho tunashinda

Kweli hujakosea tumerudi form yetu ya kuwa on the top of the leaguearsenal mmerudi kwenye fomu yenu
ndio naona sasa kugombania nafasi ya 4 muda umewadiaKweli hujakosea tumerudi form yetu ya kuwa on the top of the league
ndio naona sasa kugombania nafasi ya 4 muda umewadia