Leta link mkuuNiliwahi kuandika theard kuhusiana na hawa BHA. Jamaa wako vyema sana
Uko sahihiWafanyakazi wa serikali wengi wanaitegemea mikeka itiki ili wavimbe baa ila kiuhalisia wamechoka wamechakaa😁
Hawa jamaa na brentford ni timu ngumu sana kwa vigogoNiliwahi kuandika theard kuhusiana na hawa BHA. Jamaa wako vyema sana
Hakika amepigikaDah😭😭(asernal)
Teamwork yao ipo solid kwenye kushambulia na kujilinda pia. Wapo Very sharp ndio maana ukija na dharau zako in the name of wewe ni kigogo unakula shoka za kutosha na kugeuka kuniHawa jamaa na brentford ni timu ngumu sana kwa vigogo