MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,588
MJ1 naona unaongelea ndoa yangu, shemeji yako alikudokeza kitu?...mhh mama mkwe wangu habebeki jamani, hayo ya kutoka out na kila m2 anarudi kivyake ndio tunayoyafanya na mr mama akiwepo huku, jamani mama mkwe wangu cjui nimbebe na mbeleko gani, lakini cku hizi najitahidi kumwacha alivyo japo bila support ya mr nicngeweza, kwa mama mwanae ni kama bado anatambaa vile, hakuna mtu anaeweza kumwonyesha njia ya maisha zaidi yake yeye....
Duh nahisi mamkwe ilibidi anywee.... lol mama wakwe wana visa. Mie nina dada yangu (rafiki) mama mkwe hakumpenda tangu mwano alikuwa anataka mwanae asioe mnyambala ... basi alikuwa anapata shida huyo... kila siku mameno, mwaka wa kwanza akapata mtoto wa kiume ambaye kidogo amwondoe duniani kwa alivyo umwa, wakaamua na mumewe wapumzike angalau miaka minne kabla ya kumpata mwingine mama ntu ikawa ikila kukicha yuko ndani ya Sumry anakujaangalia kama tumbo la dada limevimba na mikashfa kibao yaani hapo hata mtoto hatatimiza mwaka!..ilipofika miaka miwili akamtolea uvivu akamwambia ..........O alikuwa tu mbishi angemwoa yule wa nyumbani sasa hivi angekuwa na watoto wawili!!........dada kwa hasira akamwambia ........wamekuwa mboga kuwa kila akija mgeni wachinjwa??....... Ikawa mwanzo wa bifu. Hadi leo hawaivi na dada tangu aolewe alikanyaga mara moja tu huko kwa mkwewe na sasa ni miaka 13
Hahahaha Mamiie wala usihofu hayako kwako tu haya lol umenichekesha lakini.
Una afadhali nyamayao kuwa Prezidaa wako anamuelewa mama yake wengine hawataki kuelewa na badala yake wanaside nao basi we mwana wa kuja unanyanyaswa hadi unashika adabu mwishowe unaona upuuzi unauvua utu wewe na kuanza malumbano, nyumba waigeuza uwanja wa mashambulizi ya wake wenza.
Bora mwakaa mbali mbali mwee!!....................
Mi nakwambia bibi yangu naye alikuwaga na yake, basi akikutana na mwanae wa kike (aliyetoka kwa mumewe kisa mama mkwe) wanamsimanga mama yangu yaani nilikuwa naumia ila vikizidi (hapo nlikuwa darasa la nne at) nawapaka.. na kuwazomea kitoto hayooooo hayana kazi kazi kumsema mama yangu .... na wao walivyokuwa na akili zao wenyewe wanatoka wananikimbiza ah..Siku hizi ni best kweli na yule shangazi lol.
................ Hahahahahahah duh huyu wako kiboko loh yaani hapa anataka kuonyesha kuwa umempa kidogo loh ndio wale ambao wakipewa chakula wanaficha then akija mtoto wake anasema kanyimwa chakula loh...... umenichekesha eti shuttle alopanda ndilo ulopakiza vya kwenda kwa mamako loh kweli alikutifua... Mimi sipati picha ningepata mama mkwe wa hivyo ningekondaje maana kusema siwezi loh............ I wishMJ1 umenimaliza mbavu zangu...wakati mwingine inabidi kwa kweli, mie cku hizi namwacha aseme tu wewee, mwanae akitoka job kamdaka wapo kibarazani ataongea na mwanae mpaka saa 5 ucku, ukiwa umeingia kulala kosa, kwanini hakusubiri muingie room pa1, hakuna kizuri kwake, ukipika utaambiwa umepika hivi nimevila sana nyumbani ningetamani kula hiki, hapo nilishamuuliza mama unajickia kula nn ananijibu chochote tu, kuna cku kweli nami ilibidi tu,alikuwa anakaribia kuondoka nikasema niende nae eneo moja linaitwa garisa akajichagulie mwenyewe vitu anavyotaka kwenda navyo nyumbani, tena kwa pesa yangu bila cent ya mwanae, tumerudi anachambua vitu vya kwenda navyo vingine akaviacha kwamba havitamfaa, kote huko alichagua mwenyewe bila mie kumpangia, nyumbani kamuona mwanae akanifanyia alichonifanyia, ktk mzigo wote kachagua vitu kama vi3 tu vingine havimfai lakini alivichagua mwenyewe....hapo uzalendo ulinishinda, kesho yake wakati anapanda shuttle na shuttle hiyo hiyo nikaviweka vitu alivyovikataa viende kwa mama yangu, kuanzia cku hiyo akija wala cjiguc kumuuliza hata kama ana mswaki.....
Jamani mie ctaki ........Mbu asijesema tumechakachua sred. but hatujatoka nje ya biti ati lolHahahaha Mamiie wala usihofu hayako kwako tu haya lol umenichekesha lakini.
Una afadhali nyamayao kuwa Prezidaa wako anamuelewa mama yake wengine hawataki kuelewa na badala yake wanaside nao basi we mwana wa kuja unanyanyaswa hadi unashika adabu mwishowe unaona upuuzi unauvua utu wewe na kuanza malumbano, nyumba waigeuza uwanja wa mashambulizi ya wake wenza.
Bora mwakaa mbali mbali mwee!!....................
Mi nakwambia bibi yangu naye alikuwaga na yake, basi akikutana na mwanae wa kike (aliyetoka kwa mumewe kisa mama mkwe) wanamsimanga mama yangu yaani nilikuwa naumia ila vikizidi (hapo nlikuwa darasa la nne at) nawapaka.. na kuwazomea kitoto hayooooo hayana kazi kazi kumsema mama yangu .... na wao walivyokuwa na akili zao wenyewe wanatoka wananikimbiza ah..Siku hizi ni best kweli na yule shangazi lol.
MJ1 naona unaongelea ndoa yangu, shemeji yako alikudokeza kitu?...mhh mama mkwe wangu habebeki jamani, hayo ya kutoka out na kila m2 anarudi kivyake ndio tunayoyafanya na mr mama akiwepo huku, jamani mama mkwe wangu cjui nimbebe na mbeleko gani, lakini cku hizi najitahidi kumwacha alivyo japo bila support ya mr nicngeweza, kwa mama mwanae ni kama bado anatambaa vile, hakuna mtu anaeweza kumwonyesha njia ya maisha zaidi yake yeye....
Hawa mama mkwe na mka mwana wanasumbuliwa na ugonjwa wa UKIRO. Wakipatiwa tiba hakutakuwa na ugomvi baina yao.
Duh nahisi mamkwe ilibidi anywee.... lol mama wakwe wana visa. Mie nina dada yangu (rafiki) mama mkwe hakumpenda tangu mwano alikuwa anataka mwanae asioe mnyambala ... basi alikuwa anapata shida huyo... kila siku mameno, mwaka wa kwanza akapata mtoto wa kiume ambaye kidogo amwondoe duniani kwa alivyo umwa, wakaamua na mumewe wapumzike angalau miaka minne kabla ya kumpata mwingine mama ntu ikawa ikila kukicha yuko ndani ya Sumry anakujaangalia kama tumbo la dada limevimba na mikashfa kibao yaani hapo hata mtoto hatatimiza mwaka!..ilipofika miaka miwili akamtolea uvivu akamwambia ..........O alikuwa tu mbishi angemwoa yule wa nyumbani sasa hivi angekuwa na watoto wawili!!........dada kwa hasira akamwambia ........wamekuwa mboga kuwa kila akija mgeni wachinjwa??....... Ikawa mwanzo wa bifu. Hadi leo hawaivi na dada tangu aolewe alikanyaga mara moja tu huko kwa mkwewe na sasa ni miaka 13
Jamani mie ctaki ........Mbu asijesema tumechakachua sred. but hatujatoka nje ya biti ati lol
Mkuu Mbu ugomvi wa mama mkwe na mkamwana wake mara nyingi unasababishwa na vitu vingi sana.Mengi ameyazungumza MJ.1 hapo juu.Lakini kubwa kuliko vyote ni ile hali ya kumgombea mwanaume kati ya mama(anataka mtoto) na mke(anataka mume)na mara nyingi kwa sisi waafrika ugomvi huo husababishwa na material things kama vile pesa,nyumba,magari,na zawadi nyingine ndogondogo.
Binafsi nimeshashuhudia mke kaolewa hata hajamaliza mwezi anawaambia wifi zake msifikiri mna kitu hapa hata kama mume wangu akifa leo mali zote ni za kwangu.Na nimeshashuhudia mama mkwe anatamka wazi kuwa huyu mwanamke kaja kula hela ya mwanangu tu hapa,hiyo ni mifano tu ambayo nimeishuhudia ikitokea na inaweza kuelezea ni vipi ugomvi unapoweza kuanzia kati ya pande hizo mbili.
Ili kuweza kuweka mambo sawa kwanza mwanaume kama kichwa cha familia alitakiwa achukue hatua mwanzo kabisa kabla mambo hayo hayajaingia katika hayo mafacebook,inaonesha kuwa hapo situation ni critical kiasi cha watu sasa kupeana vijembe kama waimba taarab.Anatakiwa kwanza asiwe na upande wowote yaani awe neutral katika ugomvi huo asiwe upande wa mama wala mke,kisha awakalishe chini wote wawili ikiwezekana wawepo na watu wengine kama vile baba,wajomba,shangazi au yeyote anayeaminika ambaye umri unakaribiana na wa mama.Kisha kwa upole mwanaume ndio aanzishe mjadala ili kujua tatizo liko wapi kati ya mama na mke,na katika hilo mwanaume ajitahidi kurekebisha aina yeyote ya hasira au hamaki itakayojitokeza wakati wa mazungumzo hayo.Akiweza kufanikisha hilo atoe nafasi kwa waalikwa wa kikao hicho kuchangia mtazamo wao kwa tukio zima toka lilipoanza mpaka kufikia hatua hiyo.Baada ya hapo uamuzi ufikiwe kama vile kutoa onyo,karipio au adhabu kutegemeana na hali itakayojitokeza kisha pande zote mbili ziridhie kwa kusameheana na kushikana mikono.Likishindikana hilo basi inabidi kuwatenganisha kama uwezekano huo upo kisha kutafuta suluhu nyingine ambayo nitakueleza ukirudi kuniambia yameshindikana.
MUHIMU ni huyo jamaa asichelewe kuchukua hatua maana kuna msichana mbichi tu alipoteza maisha kwa njia ya utatanishi baada ya kuwa haelewani na mama mkwe wake na kila mtu alisema ni mama mkwe ndio kamroga,siombei hayo ila kuepusha balaa linalonukia ni bora jamaa akasimama imara na kutatua tatizo hilo,na asikosee kuzungumza na kila mtu peke yake maana waswahili walisema,msema pweke hushinda.
...Paka Mweusi, sasa narudi kwa post yako mkuu. Umesema kwamba ni mara nyingi hizi material things zinachangia 'msukosuko' baina ya mama mkwe na mamsapu, ni jinsi gani wewe Mwanaume utaweza kuepusha/kutatua mgogoro huo apart kwa haya uliyoyaandika hapa chini?
...Mkuu Paka Mweusi, kuwatenganisha una maana gani? Kwa kesi hii, Mke na mume wanaishi ughaibuni, na mama mkwe anaishi Nyumbani Tanzania
...loh, hapo kwenye suala la mama mkwe kusingiziwa kuloga nayo ni kesi nyingine hiyo. Binafsi nishakumbana sana na hizo kesi eti mama mkwe kaloga mke asipate ujauzito, au mtoto akizaliwa anakufa, au kuumwa umwa kwa mtoto, kwanini kila 'jicho la husuda' wanasingiziwa mama wakwe jamani?
MJ1 umenimaliza mbavu zangu...wakati mwingine inabidi kwa kweli, mie cku hizi namwacha aseme tu wewee, mwanae akitoka job kamdaka wapo kibarazani ataongea na mwanae mpaka saa 5 ucku, ukiwa umeingia kulala kosa, kwanini hakusubiri muingie room pa1, hakuna kizuri kwake, ukipika utaambiwa umepika hivi nimevila sana nyumbani ningetamani kula hiki, hapo nilishamuuliza mama unajickia kula nn ananijibu chochote tu, kuna cku kweli nami ilibidi tu,alikuwa anakaribia kuondoka nikasema niende nae eneo moja linaitwa garisa akajichagulie mwenyewe vitu anavyotaka kwenda navyo nyumbani, tena kwa pesa yangu bila cent ya mwanae, tumerudi anachambua vitu vya kwenda navyo vingine akaviacha kwamba havitamfaa, kote huko alichagua mwenyewe bila mie kumpangia, nyumbani kamuona mwanae akanifanyia alichonifanyia, ktk mzigo wote kachagua vitu kama vi3 tu vingine havimfai lakini alivichagua mwenyewe....hapo uzalendo ulinishinda, kesho yake wakati anapanda shuttle na shuttle hiyo hiyo nikaviweka vitu alivyovikataa viende kwa mama yangu, kuanzia cku hiyo akija wala cjiguc kumuuliza hata kama ana mswaki.....
Nafikir tatizo kubwa huwa ni conflict of interest
Kaka Paka Mweusi umesema vema kwa kweli ni hali ya ajabu hii na ni wazi kuna kitu kikubwa kilichojificha ambacho ni ukweli tu pekee ndio utasaidia kutatua tatizo hili. But cha kujiuliza ni kuwa iweje mke awe na guts za kumvua nguo mama mkwe hadharani kama hana mkono wa mume nyuma yake??? Unless mseme mume hajui kabisa kuwa mamake anatucwa hadharani kitu ambacho kinanifanya niamini kuwa huyu mwanamke ana hitilafu kichwani kama si kuwa na wapambe wanaompa kichwa katika hili.
I mean sipati pich akama nyamayao awe na bifu na mamkwe wake kisha aanze tu kumwaga sumu Fasibukuni yaani hainiingii kabisa unles Mr. Nyaamayao awe amempa mkewe go ahead kufanya afanyavyo kitu ambacho sidhani kama inawezekana.
Nway sijui lakini bado naona mke hajatumia busara kabisa
...Nyamayao nikukate kauli, chanzo cha 'mvutano huu' ni nini? Na mume anamsimamo gani kwako juu ya hili?
Unauafiki msimamo wake?
...bado nasubiri uchanganuzi hapa.
...haha! MwanajamiiOne unaunogesha mjadala,
enhee? ...
Unapata hisia kuna waume wanachangia kuwatukanisha mama zao ee?
For sure I wouldnt jump to this conclusion........................ lazima kuna jambo hapo linalopelekea haya yote.Ooops, MAMBO YA WANAWAKE !
Kamanda hujajibu ile message niliyokutumia ....For sure I wouldnt jump to this conclusion........................ lazima kuna jambo hapo linalopelekea haya yote.
Ipi kamanda?......naomba nikumbusheKamanda hujajibu ile message niliyokutumia ....