Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,267
SEPARATED!!!
Hmmmm! Hawa walivyokuwa wanapendana! sijui kumetokea nini...lakini siku za karibuni jamaa alikuwa analalama kiutani kwenye media kwamba mkewe kamwambia hivi kamwambia vile katika kile kinachoitwa kumzodoa.
BAK Kama nilivyosema post nyingine siku mbili tatu utasikia wamerudiana...
BAK hawa hawajaachana bali wametengana!
Hahahahahahahah lolKuna thread niliisoma humu ikidai kuwa akina dada wa kibongo wanawamind wazungu cause ni waaminifu na hawacheat kama wanaume wa kibongo, na hata wakicheat hawazalishi hizo nyumba ndogo!
Wanaume wote ni sawa awe mwafrika ama mzungu wote ni sawa
Sura ya huyo kimada mh!