Wewe unajua hatima yako?
Poor minds!
R.I.P Sharon....umeicha Israel ikitengwa na dunia taratibu kwa kibri ya PM wake wa sasa.
Kule hatuna Balozi, kwa hiyo hatupeleki ujumbe wa kuomboleza kwenye mazishi ya Sharon? watu wa diplomasia mnasemaje?
Kumbe anaitwa ariel?
Meaning; Simba wa BWANA.