Ariel Sharon is dead!

Ariel Sharon is dead!

Status
Not open for further replies.
RIP Sharon, though your dead, but Holy Israel Shall stand till the second return of christ, Jesus.
 
Kwa mujibu wa ukurasa wa fb wa Bbc Swahili, wametoa taarifa ya kifo cha bwana Sharon. My take hakika huyu ndie Legend wa dunia kwani ameweza kulinda nchi iliyobarikiwa thdi ya maadui wa wayahudi,R.I.P

Kamanda nimecheka title badala ya kusitikia msiba naona mambo ya Lowassa yanaenda mpaka Israel, jamani ni Waziri Mkuu wa zamani au Former Prime Minister or Former Premier kwa marasi Former President na si Rais mstaafu hapa sijakulenga mkuu namlenga Lowassa na pesa zake za rushwa mpaka anabadili magazeti na redio jinsi ya kumsema sijiu akiona hii waziri mstaafu wa mambo ya ndani Dk Nchimbi au Waziri mstaafu wa Ulinzi Nahondha sijui watasemaje.
 
Inasemekana huyu jamaaa ameuwa idadi kubwa sana ya waarabu!

All in all R.I.P General Ariel Sharon!
 
Watu weweeeeeeeeeeeeee leo bonge moja la siku,hili li guruwe limekufa safi sana...sasaivi anachezea mboko tu huku alipo

mi nilitaka aendelee kuteseka kidogo, ila nadhani adhabu za huko aliko zitakuwa kali zaidi.
Leo bonge la ck, huyu ngurue pori kaondoka.
 
Laana tullah huyu kafiri!!bora wamezima mashine maana alishakufa siku nyingi na adhabu ya jehanam ndiyo makazi yake ya kudumu
 
Mzee amepumzika moja kwa moja baada ya kupumzika kwa miaka takribani nane.

Akae anakopaswa kupumzika kulingana aliyotenda akiwa hai. Ameen!
 
Halafu ajabu hakuna kiongozi hata mmoja wa dunia aliyeongelea kifo cha sharon mpaka saa hii
 
Tutakumis MBABE,RIP
ariel-sharon.jpg

Baada ya kukaa ICU in comma state kwa miaka takriban saba mbabe huyu wa wapalestina ameaga dunia leo baada ya hali ya mwili wake kudhoofu toka wiki iliyopita


Source: BBC News
 
Jamaa alishakufa long time ago ila walikuwa wanaendesha moyo wake kwa mashine. Kipindi fulani walishampasua kichwa wakaondoa 1/3 ya ubongo wake!
 
:israel: Meet you in heaven Sharon :A S crown-1:
 
Aliekua waziri mkuu wa Israel Ariel Sharon 'the butcher' afariki dunia baada ya kua kwenye Comma kwa miaka nane
 
I don't think that most of us use the brain we have to THINK, who are we to JUDGE?????? Tumekuwa MIUNGU???? Do we know exactly wapi yutakwenda baada ya maisha yetu hapa duniani???? ARE WE THAT PERFECT? ?? then jpili, jmosi na ijumaa tunakwenda kuomba Mungu???? Kweli????????? Usihukumu, kwa sababu kiwango unachotumia kuhukumu kitakurudia mara dufu!!!!! KAMA HUNA CHA KU-COMMENT, SOMA ACHA. R.I.P SHARON!
 
Kama kweli kuna hukumu na moto huko jehanamu huyu jamaa haponi moto huo hata kidogo, binafsi naombea mungu aongezee kuni kwa ajili ya kumbanika yeye tu, daah huyu mtu alikuwa katili bwana mi ni mkristo bt kwa hili la kuua wapalestina kama kuku sidhani kama Mungu alikuwa na maana hio kwa hilo taifa teule, huyu bwana anatofauti gani na magaidi yanayotumia dini ya kiislam na kuua watu lukuki eti kwa kisingizio cha jihad or Allah sijui. Mungu hawezi kuwa gaidi bwana, hawa watu ni wabaya wakafilie mbali huko.

c.r.ap

Hao wapalestina hawatakiwi arabuni yote hata kwa waajemi pia... Hakuna Historia inayosema kuna Taifa la Wapalestina... na hao waarabu wengi wao wamezaliwa nchi za pembeni mwa Israel..... Hata Kova penye ghasia au fujo anaweza tuma askari wake ikiwezekana hata kuua waue kwasababu yupo madarakani na anatumwa na pia anawajibika kufanya kazi yake... Shalon hana Kosa zaidi ya Kuitwa Shujaa..... Hapa kwenu hamuwaangalii Wazanzibari walioua mamia ya Waarabu na kisha kuita ni Mapinduzi Matakatifu... Hivyo watawala wa awali wa Zanzibari nao waende Motoni pia? wewe si Mkristo wewe ni mfuata bendera sababu umezaliwa ndani ya ukristo tu,,, soma biblia fresh uone matukio yaliyotokea mwanzo nchi ya Israel anza na Mfalme Daudi tu utajua aliua nani jitu liitwalo Goliath na baada ya hapo wafilisti walikuwa wanauwawa mbaya...hadi mifugo yao sasa hivi ni cha mtoto tu... maislam yamekupa like na wewe unakenua tu....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom