ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,254
- 85,128
VP anaweza mgeuka nani na Kwa jukumu gani alilonalo?Nchimbi be careful
Wherever you do, you go, you sleep, you eat,you drink
They what to do something then after election you will sleep then...
Na wataweka the man of their Network.
ili kuendelea kutubagaza because wewe umekuwa na power kwenye vyombo ingawa wewe Ni mwenzao nikwambie wanaogopa utawageuka.
Mtasogeza sana tareheNchimbi anawinda Urais kwani katiba ya Tanzania itampa Urais pindi Utabiri wa Sheikh Yahya ukitimia mama kuwekwa Bench yeye kuwa Rais ndipo kesi nyingi mfululizo za ufisadi zitafunguliwa ili kuisafisha ccm, watu wengi watafungwa Nchimbi akiwa Rais
Hiyo isikutishe, hata aliye itumia hapo kachafua. Haitumiki hivyo.shida yangu mimi ni matumizi ya Aren't maana yake nini? elimu haina mwisho
Mwamba ngozi tu."HAKI"?
Mbona hili neno matumizi yake sasa yanatafutiwa maana tofauti kabisa na ile inayosimamiwa na neno hili miaka yote?
Kwa mfano: Samia sasa hivi anahangaika sana kutafuta "HAKI"; anawapa waTanzania fursa nzuri kabisa ya kumchagua yeye kwa HAKI; ndiyo maana anahangaika kufanya kampeni hizi kubwa kila siku!
Hii ndiyo maana ya HAKI sasa!
"Maigizo" juu ya hatma ya maisha ya watu; maigizo ya aina hiyo hayawezi kupuuzwa.Mwamba ngozi tu.
Hiyo haki Sio kila anayeitamka anamaanisha.
Bahati nzuri unaelewa.
Maigizo ni sehemu ya maisha.
Wewe na nanTumeshakubaliana 2030 ni Riz.
Au tuseme propaganda."Maigizo" juu ya hatma ya maisha ya watu; maigizo ya aina hiyo hayawezi kupuuzwa.
Kwa jina lolote tutakavyo penda kuyaita; yanapo husu maisha ya waTanzania hayawezi kupuuzwa.Au tuseme propaganda.
We hupendi kulamba asaliKwenye michezo ya wahuni lazima kuwepo kusalitiana na kila mmoja kutolea jicho kiti cha boss..!!
Mimi na familia ya mstaafuWewe na nan
Walimuweka kwa kuhofia influence na power kwenye chama ila hawamuoni kama mwenzao.Nch.analifahamu hilo!.Nchimbi be careful
Wherever you do, you go, you sleep, you eat,you drink
They what to do something then after election you will sleep then...
Na wataweka the man of their Network.
ili kuendelea kutubagaza because wewe umekuwa na power kwenye vyombo ingawa wewe Ni mwenzao nikwambie wanaogopa utawageuka.
Okay sawaMimi na familia ya mstaafu
Hivi watanganyika wote sisi tunamshindwa mtoto wa Mama na huyo Rostam?Nchimbi be careful
Wherever you do, you go, you sleep, you eat,you drink
They what to do something then after election you will sleep then...
Na wataweka the man of their Network.
ili kuendelea kutubagaza because wewe umekuwa na power kwenye vyombo ingawa wewe Ni mwenzao nikwambie wanaogopa utawageuka.
Wana mtandao wa watu wengi, Simbachawene vipi hafiti nafasi ya Vp au Mp?Nitakwambia kwa nini Nchimbi hana lolote la kuogopa toka kwa wanamtandao wenzake.
Huyu wanamhitaji sana, na wataendelea kumhitaji sana huko mbele za safari kutimiza mipango yao.
Nchimbi kama hataonyesha dalili za kujinasua kwenye kundi hilo, ni 'asset' muhimu katika mpangilio wa wao (mtandao) kubaki madarakani.
Ukimwondoa Nchimbi, ni lazima umpate 'substitute' wake atakaye shikilia kwa miaka 10 akiwa kibaraka wao kabla ya kumpa nafasi mtoto wa Kikwete kuendelea madarakani.
Haya yote mTandao wanadhani yatawezekana bila ya waTanzania kukataa upumbavu huo.
Ana sura ya kikuda sana nakuunga mkonoSema ukiitizama sura ya nchimbi hakika inaonesha siyo mwenzao
Hapendezwi na ujinga unaoendeleaAna sura ya kikuda sana nakuunga mkono
Kwani Historia Huwa inafutika? tunachojua ni shida ya Madina na RomeYaani nyie kila siku ni chokochoko TU..mkitoka huku mnahamia kule mnarudi huku ilimradi nchi isitàwalike..nchimbi ni msaidizi wa mama mpaka 2030 then nae ataanza 2030 mpaka 2040