Are you positive minded?

...... na yule jamaa wa machungwa 4000 kwa mti mmoja alikuja kwa mkwara na kushushua watu hivi hivi ...... hawa ni mapacha au kinyonga anabadili rangi tuu???
 
Yaaah nmekisoma tayari...nampango wa kukitoa copy niwape baadhi ya wa2 wa karibu yangu i knw kitawasaidia kama kilivyonsaidia mimi..tanx

Ni ka kitabu kadogo sana, hutumii hata saa moja kukasoma, kwa wale wapenzi wa kusoma kama mimi. Ila kama vitu vingi vizuri.
 
Back
Top Bottom