ARE YOU MR. MUSHOBOZl? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ARE YOU MR. MUSHOBOZl?

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Bujibuji, Apr 1, 2010.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Apr 1, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,288
  Likes Received: 22,051
  Trophy Points: 280
  ENZI ZILE ZA UBAGUZI MKALI WA RANGI DUNIANI KOTE,
  BWANA MUSHOBOZl ALIBAHATIKA KWENDA UINGEREZA KWA MASOMO YA DIPLOMA YA SHERIA.
  KUTOKANA NA JAMII YA WATU WEUSI KUBAGULIWA NA KUTENGWA SANA, ILIKUWA NADRA KWELIKWELI KWA MTU MWEUSI KUWA NA BIBI MZUNGU.
  BAHATI ILIMWANGUKIA NDUGU YETU MUSHOBOZI.
  AKAOPOA CHOMBO CHA KITASHA, LAKINI MBAYA ZAIDI NIKWAMBA SIKU WAMEENDA KULIMEGA TUNDA LA MARAHA NA HABUBA ALIKUWA AMEBAKIZA MASAA MACHACHE ARUDI NYUMBANI TANGANYIKA.
  BWANA MUSHOBOZI AKAMPIGA KATERERO MZUNGU, MZUNGU AKADATA NA KUZUZUKA NA KUCHIZIKA KICHIZI, MISHIPA IKAMTOKA,
  MISULI IKAMKAKAMAAA MWILI MZIMA,
  MAJI YAKARUKA KWENDA JUU UTADHANI FOUNTAIN YA KWENYE BUSTANI.
  MZINGU IKAWA MARA YAKE YA KWANZA KUPIGA BAO, AKABAKI ANASTAAJABU YA FIRAUNI BAAADA YA KUWA AMEYAZOEA YA MUSA.
  BAADA YA UCHOVU MWINGI WA TENDO HUSIKA , MZUNGU AJARUDI KWAKE NA MUSHOBOZI AKAENDELEA NA MIPANGO YAKE YA KURUDI NYUMBANI.
  AKIWA UWANJA WA NDEGE BWANA MUSHOBOZI AKAONA HERI AMPIGIE BIBIE WA KIZUNGU NA KUMUAGA.
  MUSHOBOZI AKAENDA KWENYE CALL BOX, AKADUMBUKIZA SARAFU NA KUNYONGA NAMBARI ZA SIMU YA NYUMBANI KWA MZUNGU.
  MZUNGU AKAPOKEA NA KUITAMBUA LAFUDHI YA KIHAYA YA MUSHOBOZI. MUSHOBOZI AKAMUAGA NA KUMWAMBIA BADO NUSU SAA NDEGE IONDOKE NA HATORUDI TENA UINGEREZA.
  MZUNGU AKAWA KAMA ALIYEPAGAWA NA MAPEPO, AKAANZA KUTIMUA MBIO KUELEKEA UWANJA WA NDEGE, KILA MTU MWEUSI ALIYEKUWA AKIKUTANA NAYE AKAWA ANAMUULIZA "R U MR. MUSHOBOZI?" AKIENDA BAADA YA UMBALI MFUPI ANAULIZA TENA, YAANI KILA MTU MWEUSI SIKU HIYO ALIULIZWA KAMA YEYE NDIYE MR. MUSHOBOZI.


  SIMULIZI HILI NI LA KUBUNI NA WALA HALINA UKWELI WOWOTE NA WALA HALINA UHUSIANO NA MUSHOBOZI YEYOTE.

  SIMULIZI HILI LINATUFUNDISHA TUSIACHE ASILI ZETU KWENYE KILA TULIFANYALO.
  MR. MUSHOBOZI ALIMGEUZA BINTI WA KIZUNGU MTUMWA, KWA JINSI ALIVYO HANGAIKA KUMTAMFUTA SUKARI GURU MUSHOBOZI.

  KATERERO OYEEE!!!!!

  NAWATAKIENI MAPUMZIKO MEMA.
   
 2. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #2
  Apr 1, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hhaha haa haaaaaaaaa.
  Mr mushobozi kaniacha hoi kweli kweli.
  Katerero kweli ni noma.
   
 3. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #3
  Apr 1, 2010
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Mpwa umeandika herufi kubwa zote utadhani ndio unajifunza kuandika?
  Hapa nimeiweka kwa herufi ndogo ili ivutie kidogo.

  Enzi zile za ubaguzi mkali wa rangi duniani kote,
  bwana mushobozl alibahatika kwenda uingereza kwa masomo ya diploma ya sheria.
  Kutokana na jamii ya watu weusi kubaguliwa na kutengwa sana, ilikuwa nadra kwelikweli kwa mtu mweusi kuwa na bibi mzungu.
  Bahati ilimwangukia ndugu yetu mushobozi.
  Akaopoa chombo cha kitasha, lakini mbaya zaidi nikwamba siku wameenda kulimega tunda la maraha na habuba alikuwa amebakiza masaa machache arudi nyumbani tanganyika.
  Bwana mushobozi akampiga katerero mzungu, mzungu akadata na kuzuzuka na kuchizika kichizi, mishipa ikamtoka,
  misuli ikamkakamaaa mwili mzima,
  maji yakaruka kwenda juu utadhani fountain ya kwenye bustani.
  Mzingu ikawa mara yake ya kwanza kupiga bao, akabaki anastaajabu ya firauni baaada ya kuwa ameyazoea ya musa.
  Baada ya uchovu mwingi wa tendo husika , mzungu ajarudi kwake na mushobozi akaendelea na mipango yake ya kurudi nyumbani.
  Akiwa uwanja wa ndege bwana mushobozi akaona heri ampigie bibie wa kizungu na kumuaga.
  Mushobozi akaenda kwenye call box, akadumbukiza sarafu na kunyonga nambari za simu ya nyumbani kwa mzungu.
  Mzungu akapokea na kuitambua lafudhi ya kihaya ya mushobozi. Mushobozi akamuaga na kumwambia bado nusu saa ndege iondoke na hatorudi tena uingereza.
  Mzungu akawa kama aliyepagawa na mapepo, akaanza kutimua mbio kuelekea uwanja wa ndege, kila mtu mweusi aliyekuwa akikutana naye akawa anamuuliza "r u mr. Mushobozi?" akienda baada ya umbali mfupi anauliza tena, yaani kila mtu mweusi siku hiyo aliulizwa kama yeye ndiye mr. Mushobozi.


  Simulizi hili ni la kubuni na wala halina ukweli wowote na wala halina uhusiano na mushobozi yeyote.

  Simulizi hili linatufundisha tusiache asili zetu kwenye kila tulifanyalo.
  Mr. Mushobozi alimgeuza binti wa kizungu mtumwa, kwa jinsi alivyo hangaika kumtamfuta sukari guru mushobozi
  .
   
 4. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #4
  Apr 1, 2010
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,754
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  R u mr mushoboozi???
   
 5. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #5
  Apr 1, 2010
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Haha hahaha hahaaaa...
  Are you mr mshobozi??
   
 6. m

  mchajikobe JF-Expert Member

  #6
  Apr 1, 2010
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 2,366
  Likes Received: 662
  Trophy Points: 280
  Hapa ndio kunao akina Mushobozi++!!
   
Loading...