Are you married to your soulmate or dated one: Hugh Heffner

Are you married to your soulmate or dated one: Hugh Heffner

Muke ya Muzungu! Ukibahatika kuwa na soulmate kwenye penzi ni raha ya ajabu sana. Saa zote una furaha na una tabasamu na yeye ni hivyo hivyo. Saa zote mnataka muwe pamoja hata kama hamna la maana la kuongea ile kuwa pamoja tu kunawapa wote wawili furaha ya hali ya juu sana. Waswahili wasioelewa mapenzi wataishia kusema umelishwa vya kulishwa i.e. Limbwata na vinginevyo kumbe ni penzi tu la kiwango cha juu sana.

Aisee nakubali, ni raha mno
 
I think we were very deep in love, very spoiled everything that came out from my mouth triggered her smile. Everything she used to say was wow.

Most of the free time she was all around 24/7 yani raha tu na amani, sex is ever ready and no worries about infidelity,yupo free na mimi kupita maelezo her phone is all mine hana sababu ya kuficha au kufuta texts yan hukuti ana mazoea na strangers mara sijui anachat na ME wangese wanapigiana simu behind my back kama walivyo wanawake wa Dar. Ni KE mgumu sana kuingilika maana hataki mazoea na hana uswahili wa kuwa na circle za mashoga kama wanawake wengine maisha yake ni private tu.

Very pretty, romantic, understanding, caring and sweet, mwepesi kusema samahani akikuboa na ana huruma na utu sana na ni mpole si muongeaji sana in public isipokuwa tukiwa mtu bee she is freaking out na mimi tu. The only person twaweza ongea story zisiishe wala kuboa the only person, its never been like that. Kiukweli she is the only woman who made me feel like a man katika maisha yangu yote. By that time ningekuwa vizuri ningetangaza ndoa kabisa. Najiona nna safari ndefu kuja kupata mwanamke kama yeye she was my soulmate indeed we did match at 98%.

Kwa sasa napata wanawake ila siinjoy mahusiano like it used to be with my soulmate. Unakuta wanamiss vitu vingi mf:
1.Dame wa kawaida ana tabia nzuri mwaminifu ila hajui ku care na mvivu kwa bed.
2.Dame ana mvuto shape ila haaminiki kabisa, full kuficha ficha simu mtu wa kushikiwa akili.
3.Dame ambaye sio mzuri, mwaminifu na anajua kujali ila mjeuri huyoo...Sio muelewa kabisa.
 
Jitahidi urudi aisee
 
Married to my soul mate. Mpk tumefanana
 
inanipa wakati mgumu sana hii mambo...my soulmate has already taken...nilifanya ujinga flani hivi akaamua kumove on..nimejikuta kila nikijaribu kudate watu wengine najihisi kama siwapendi kwa dhati vile.
Same I do.
 
Unaweza kua soulmate kwake lakin yeye asiwe soulmate kwako,..yaan we ukampenda ukahis ni soulmate kumbe yeye anakuona kawaida,so kupata soulmate si kaz ya kitoto,..yan penz la die hard fan..mfano mi kuna bint nilimpendaga saaana had nkahis ndo soulmate,nilimbikiri na tulidum for like 3yrs,ila tuliachana end of the day.sasa sjui ,huenda mi nilimwona soulmate akat yeye aliniona kawaida,i dont know,na pia nilipata pia dem nilidum nae for 4.5yrs yeye alikua anasema kabsa or anawambia had rafikize kua mi ndo soulmate wake,lakin cha ajab mi nilimpenda kawaida tu,so tuwe makin katka hiz soulmates,..zina pande mbili
 
Wengi wameeleza vizuri kuhusu a soulmate.
Kwa kuongezea tu;
Upatikanaji wa soulmate unakuwa tofauti kidogo. Soulmate hatafutwi. Ni pale, bila money in between, bila intention, bila conscious decision, you just find yourself connect intimately with someone. Its like you have found someone to whom you share your mind. You gonna feel like, where da fck were you all this time?.
NB: hata mkija kuwa apart or married to other people, the spark never dies. You can feel it when you meet. So, you dont always get to have your soulmate forever. Sometimes, he/she isnt a man/woman of your life. And oh, most people dont get to have their soulmate for the rest of their lives.
U said it all.
 
Love needs one being honest, trustful and love wholeheartedly! But you know, there are people who never lie, many do! Both men and women! Others, need the truth however, painful it might be! Now, a little lie spoils that state of soul mate! I hate lie in love, whatever the lie, not only 'wale wasiojulikana' 😛😛

Your right Kitomilamkijeje "Lies" no matter how big or small always crack or break the very foundation of trust!
 
Back
Top Bottom