In Tanzania stalker mwisho wake inakuwaje ?Stalking is horrible.Its a mental illness.In USA you go to jail ukiwa na evidence.Kuchungulia Facebook za mtu aliekuacha noma
Hamna kesi mtaishia kutukanana tu mkichoka kila mtu anapita alolo.In Tanzania stalker mwisho wake inakuwaje ?
Hakuna kulipana kisasi ?Hamna kesi mtaishia kutukanana tu mkichoka kila mtu anapita alolo.
Wabongo wengi waoga kureport police. Hii ni kwasababu law enforcement bodies za kibongo nazo ni magumashi. Unaweza kupeleka kesi kituo cha polisi ukaishia kulala sero wewe. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
MwendawazimuIn Tanzania stalker mwisho wake inakuwaje ?
Hahaha keep hopingStill got hopes .......
One day i will meet my everything ,the love of my life .
Bongo stalking Ni mapenzi yasiyokuwa na macho .Oh alinichungulia or kapiga simu kakata or nilikutana nae kibahati mbaya or nilienda club ghafla nageuka akatokea .Hilo sio penzi Ni psycho.Au wengine wanasema kafika HuyoHamna kesi mtaishia kutukanana tu mkichoka kila mtu anapita alolo.
Wabongo wengi waoga kureport police. Hii ni kwasababu law enforcement bodies za kibongo nazo ni magumashi. Unaweza kupeleka kesi kituo cha polisi ukaishia kulala sero wewe. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
nokia me nakunyapia nyapia kumbe ushaoa jamani,si ulinambia umezalisha tuI married the love of my life
Nahisi your the one!!pole na wewe sidhani kama unae
nokia me nakunyapia nyapia kumbe ushaoa jamani,si ulinambia umezalisha tu
[emoji1][emoji1][emoji1]hamna buana....ni vile tu majukumu yananiandamaMm nlishaoa toka 2009 na mtt ninae toka 2010 bahati mbaya tu mama yake sipo nae tena
Ww miaka yote hiyo kama ulikuwa unataka kunipa papa sasa hivi mtt angekuwa anatambaa,nmeckia umepata jamaa humu hata kukomenti unashindwa
[emoji1][emoji1][emoji1]hamna buana....ni vile tu majukumu yananiandama
Awezi kufikia hatua ya kuua ?Mwendawazimu
Kafika maana yake nini aunt ?Bongo stalking Ni mapenzi yasiyokuwa na macho .Oh alinichungulia or kapiga simu kakata or nilikutana nae kibahati mbaya or nilienda club ghafla nageuka akatokea .Hilo sio penzi Ni psycho.Au wengine wanasema kafika Huyo
Hatar sanaMimi kila siku nina Soul mate mupyaaa