Are you married to your soulmate or dated one: Hugh Heffner

Are you married to your soulmate or dated one: Hugh Heffner

Mkuu umeeleza vizuri sana na umenigusa, ila kwa mazingira ya wanawake wa Tz wanaowaza mfuko zaidi kuliko mapenzi ya kweli, mtu yuko radhi awe na soul mate mzee mwenye makinikia ya kutosha
Soulmate Hana umri,dini,Kabila ,rangi
 
Huyo jamaa aliamua kuchagua maisha yake yawe hivyo, ndiyo maana hajawahi kukutana na soulmate...

Cc: mahondaw
Mke wake wa kwanza Alikuwa Ana date wanaume wengine alivyokuwa vitani.Alivyorudi alichanganyikiwa akazaa nae watoto wawili akamuacha.
 
inanipa wakati mgumu sana hii mambo...my soulmate has already taken...nilifanya ujinga flani hivi akaamua kumove on..nimejikuta kila nikijaribu kudate watu wengine najihisi kama siwapendi kwa dhati vile.
 
Love needs one being honest, trustful and love wholeheartedly! But you know, there are people who never lie, many do! Both men and women! Others, need the truth however, painful it might be! Now, a little lie spoils that state of soul mate! I hate lie in love, whatever the lie, not only 'wale wasiojulikana' 😛😛
your right.
 
inanipa wakati mgumu sana hii mambo...my soulmate has already taken...nilifanya ujinga flani hivi akaamua kumove on..nimejikuta kila nikijaribu kudate watu wengine najihisi kama siwapendi kwa dhati vile.
hakuwa soulmate wako.asingekuacha.
 
There is no soulmate, because there is no soul.

Ni ujinga wa ku copy paste maisha ya watu tu.
 
basi pole .chukua tu yeyote usogeze siku kama huwezi ishi peke yako.
ndio hao ninaosema najikuta sina hata mapenzi nao ya dhati...hisia za my soulmate zinanizonga kila uchwao mpaka wakati mwingine huwa najisemea kama kuna maisha mengine baada ya haya ya hapa duniani basi ningependa Mungu anikutanishe nae tena nirekebishe nilipokoseaga.
 
inanipa wakati mgumu sana hii mambo...my soulmate has already taken...nilifanya ujinga flani hivi akaamua kumove on..nimejikuta kila nikijaribu kudate watu wengine najihisi kama siwapendi kwa dhati vile.
Pole bht haiji Mara mbili ila kwako itakuja coz inakuuma
 
na upenda penda huu u-soulmate unatoka wapi?

sema inatokea natamani mtu awepo jirani yangu na akiwa mbali nam mmisi sana ila akizingua wala habari sina nazamia kwingine fresh tu
 
  • Thanks
Reactions: ywf
Back
Top Bottom