Sikumkosea kitu,we were so deep in love with eachother though i was in a dillema i wanted her to be mine for good ila on the mean time still alikuwa na jamaa yake wa kitambo anamu abuse sana ila its like alikuwa anaogopa kuachana nae.
I made a decision kama mwanaume kuwa nahitaji aachane na mchizi soon ili tuwe for real maana sina sababu nyingine ya kupenda zaidi ya navyompenda yeye. Nilikuwa naboreka sana ile we are in the middle of something jamaa yake anapiga simu kuwa anamfata, or anataka kujua yupo wapi kila saa huku yeye hana muda nae na ndio bingwa wa kumchit kila uchao.
Hapo nlikuwa nmetoka mtema demu wangu alienletea utoto nikampotezea then alipostuka sina time nae akahisi kuachwa akajirudi baada ya kuona nimejiweka pazuri zaidi,akakomaa sana nimsamehe and shit alijutia sana kosa lake.
Sikuwa tayari kumrudisha ila as time went nilianza muonea huruma she never cheated on me ila tu kosa kubwa alivyojua nampenda she started feeling herself sana akawa na pozi nyingi na makusudi so nikamnyoosha apate akili vizuri. Akafikia stage amekonda alitaka anywe sumu nikaona isiwe tabu asije kukufwa bure nilimpenda pia before hajaleta ufala.
Dillema ilikuja hapo nkawaza what if nikimove on nayeye still hataki muacha jamaa huko mbeleni sindio ntakuwa kama rebound. I just wanted her to stand for herself ili tuwe pamoja. It would hurt ila sio kesi nilikuwa ready for her comforting her kwa kila hali nilimpenda head over heels. Akawa anapiga chenga kuhusu hilo anataka time tu mwisho wa siku nikaamua mrudisha demu wangu niliomtema.
Well aliumia sana maana alikuwa ananipenda sana na alinipa kila kitu bila kuwaza and she was more good looking and romantic ila sikutaka kuwa rebound. Maybe hilo ndio kosa langu ila later alipata courage ya kuachana nae yule jamaa ndio sasa i was fighting for her love back ila hanielewi tena amechukia sana mapenzi.