Are you married to your soulmate or dated one: Hugh Heffner

Muke ya Muzungu! Ukibahatika kuwa na soulmate kwenye penzi ni raha ya ajabu sana. Saa zote una furaha na una tabasamu na yeye ni hivyo hivyo. Saa zote mnataka muwe pamoja hata kama hamna la maana la kuongea ile kuwa pamoja tu kunawapa wote wawili furaha ya hali ya juu sana. Waswahili wasioelewa mapenzi wataishia kusema umelishwa vya kulishwa i.e. Limbwata na vinginevyo kumbe ni penzi tu la kiwango cha juu sana.

Hugh Heffner (play boy founder) Kabla hajafa alisema amelala na wanawake zaidi ya 2000 na ameoa Mara Tatu hakuweza Kuwa na soulmate.or True love .Je wewe umeolewa au umeoa soulmate au pressure ya society au wazazi?
 
Za miaka mingi Natalia, Dr hajambo
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Ni kweli bongo oh madawa ya kienyeji kawekewa.Soul mate wengine wakiachwa wanageuka Kuwa stalkers ,ulevi unaanza, mtu hadhamini kazi.A case to study is Bill and Hillary. Bill Clinton bado anatafuta
 
mtu akiwa stalker mwisho wake ni nini ?
 
Hugh Heffner (play boy founder) Kabla hajafa alisema amelala na wanawake zaidi ya 2000 na ameoa Mara Tatu hakuweza Kuwa na soulmate.or True love .Je wewe umeolewa au umeoa soulmate au pressure ya society au wazazi?
Nawapa pole kidogo, mwanamke ni multipurpose akiwa ulaya atapata mtu na kupenda, akiwa China kadhalika na sehemu nyingine, ukitumia akili sana utazeheka tu, mwanamke kwa ajili ya mwanaume. Yeyote anayekuja ndio liziki upendo unazaliwa huko huko
 
Thanks God I Hv my soulmate though mwanzon sikumchukulia kivile but as days go on I realized we can't live without each other. We fit one another in everything. Am grateful ninaye soulmate wangu
There is nothing like "we can't live without each other"

Binadamu tumeumbiwa kusahau bwana, akipita alolo utaumia ila baada ya muda unakua ushasahau na life linaendelea
 
  • Thanks
Reactions: ywf
Wengi wameeleza vizuri kuhusu a soulmate.
Kwa kuongezea tu;
Upatikanaji wa soulmate unakuwa tofauti kidogo. Soulmate hatafutwi. Ni pale, bila money in between, bila intention, bila conscious decision, you just find yourself connect intimately with someone. Its like you have found someone to whom you share your mind. You gonna feel like, where da fck were you all this time?.
NB: hata mkija kuwa apart or married to other people, the spark never dies. You can feel it when you meet. So, you dont always get to have your soulmate forever. Sometimes, he/she isnt a man/woman of your life. And oh, most people dont get to have their soulmate for the rest of their lives.
 
yap inaitwa love at first sight! haitumii nguvu kila kitu kinaclick naturally
 
Back
Top Bottom