Mmmmmmmh! Okay! Maybe!Wakati nikiwa kwenye tourist industry wageni wetu wengi ni matajili wa kimarekani Warussia na Waspain wakiwa porini wanaagiza kwa $3000 ndege iwapelekee hao Lobuster tu na wanatakiwa wafike wakiwa hai na hata ukienda Fish market Lobuster bei yake iko juu sana.
Mmmmmmmh! Okay! Maybe!
uso hata mbuzi anao bana...sema kuna vitu adimu wataka ona
Ukiona nimeulizia ni lini ,,,Jua not yet mkuu.
Maeneo
ya namna hii ili kujivinjari inahitaji mfuko utune kidogo, lakini kama
mtu ukijipanga ndani ya miezi miwili kwa ule mtindo wa umoja ni nguvu,
watu wanajimuvuzisha mjengoni kiulaini bila chenga.
Waheshimiwa hili ndilo eneo la tukio
Are you invited....?
CC:
lara
1,
sister,
Paloma,
Vivianna,
Heaven
on Earth,
Elizabeth
Dominic,
tinna
cute,
miss
strong,
cacico,
ladyfurahia,
KakaKiiza,
Kaizer,
amu,
mwekundu,
Tyta,
Kipaji
Halisi,
Jiwe
Linaloishi,
miss
neddy,
badiebey,
Mentor,
Asprin,
miss
chagga,
angelita,
NANDERA,
charminglady
Na wengineo.......
the boss, jembe africa , matola, tarime one godgrey, kabanga karibun kwangu
Red lobuster..
Kwako wapi?
Kwako wapi?
Teh teh teh mazeee umenichekesha kweli hapo.
Ati anaitwaje?
Halafu umenikumbusha....leo dinner tunaenda Red Lobster
jf party nyingine au?
Kivingine kimya kimya.
Ukiona nimeulizia ni lini ,,,Jua not yet mkuu.