:amen::amen::amen::amen:
:violin::violin::violin::violin::majani7::majani7::majani7::cheer2::cheer2::cheer2::cheer2::whoo::whoo::whoo::msela::msela::msela:😛eace:😛eace:😛eace::hungry::hungry::hungry:
Team niniii? Maana humu ndani kuna TEAM WATER MARK, TEAM WAFU, TEAM VILAZA, TEAM WALIWAJI, TEAM BAZAZI, TEAM RAFIKI, TEAM WAKOPESHAJI, TEAM NO FREE P, Endlesss teams!
Na invitation iliangalia ATTITUDE YA MTU TOWARDS SOCIALISATION AND PERSONAL RESPECT YA MTU TO OTHERS BUSINESSES! Sasa mtu humu juwanii kila siku anaponda watu kuonana AALIKWE ILI IWEJE? Si tutampa shida kuja na Ninja? Akae tu huko huko na kureserv privacy yake!
Mtu mwingine ana vi attitude vya u bully kuwachokoza wenzie! Akiona mtu yupo zake anaanza kumchokonoa hapo hamjui, akimjua je? Akae huko huko
Mtu mwingine hana manners, mswahili hatari, asione jambo atataka alitolee opinion yake, mtu wa hivo hafai kwenye gathering! For the sake of others akae huko huko!
Hili jamvi la watu wengi, TUJIFUNZE KUISHI NA WATU KATIKA JAMII!
Japo wengine hawajaalikwa simply sababu hawana mazoea na management, na management haijui kama wanapenda kualikwa au la japo ni watu safi sanaaa katika jamii! Mtu wa hivo akisema im interested na experience inaonesha hana walakini ana alikwa tu!
Lakini watu wengne hawajaalikwa MAKSUDIKALLY, KWA KUKUSUDIA maan amezidi. VI ATTITUDE NA NEGATIVE VIBES, WAO NI KU INVADE PRIVACY ZA WENZAO NA KULETA UTOTO UTOTO HUMU KAMA TUNA MIAKA 12 BANAAAA, Its a shame watu huwajui unawaletea attitude, ukiwajua je? anhaaaaaaaaaa! Wakaag tu huko huko!
Nimefurahi....ila mnipikie pilau la kuku ili nifurahi zaidi
niulize kizungu bana "are u invited"
hapana mi sijakaribishwa
ma-antisocial pole zao naona washaingia kwenye kitabu cheusi cha MMU...watakuja na ID mpya au zile ambazo siyo active sana
Hebu wasiliana na chuma cha pua (bibi) aweke mambo sawa...?
Unakuja mwenyewe au ndo unatuletea habari njema....kwamba hatimaye mzigo umepata mmbebaji??
Kama si hivyo usubiri kwanza...lol!!
Invitation huyo ataiskia kwa wenzake tu....
ma-antisocial pole zao naona washaingia kwenye kitabu cheusi cha MMU...watakuja na ID mpya au zile ambazo siyo active sana
HAHAAAAAAAAAAAA! Mi nishawazoeeea! UZURI MI WANAONIPONDA SHULE HAWANAAA KABISAAA USWAHILI TU NDO WANAUJUA! Hahaaaaaa! Kama wanaweza WAJE WAFANYE ONE TO ONE NA MIE TUSEME SUUUU SIO KUJIFICHA CHINI YA KEYBOARD! Wanakomalia ya watu mbona yao shule hawajaenda hawasemiii? Saivi NAWAPOTEZEA TU!
Mie sugu wewe ningeogopa kusemwa nisingejitokeza ila kwa kujishebeduaaa weeeee! AFU MSIPONIONGELEA NAKOSAGA RAHA WEWE ACHA TU! NIPENI BASI KICK WATU WANI EXPECT KESHO HAPO SERENA MAANA NISHAKUWA MBUI MZEE BILA KICK SIUZIIIII!
Ndo ushange PARTY YA 3 HII NAKUJA, BADO NAANDIKA UTUMBO HUMU NDANI, MAJIBU YA KUNYA KAMA KWAIDAAA, NA MTU AKIINGIA ANGA ZANGU NAMPA NA YAKE ALIYOKUWA HAJAYASIKIA! Anasema watu wakati wtu wanamsema shule hana kiherehere tu, point zenyewe hana , maskini ya Mungu hahaaaaaa! Amekalia misuto! Atachangia nini? Hahaaaaaaa!
Watu wanachisahau mie ni MUTOTO YA KINONDONI wakuja hamniweziii! Labda ndugu yangu Maddame B wa kino mwenzangu. NAPENDA KUWA TRENDING HATARIIIII! Hahaaaa! Mie tenaaaaa! Kama party hii NAWAZA NITOKE VIPI!
FYI Mike yule rafki yangu sanaaaa, siwezi kujigonga gonga kwake! Nikitaka nampaaa tu, kwani si MWANAUME yule na yeye, au mnamuonaje? Tunaheshiiana tu! Kama mnamtaka nyie mpeni tu vipapa hivo anakula tu, msaada hauna risiti!
Mhhhh yashakuwa ayo?
Mimi nilikuwa nanukuu tu comments za thread flani baada ya kigodoro cha escape, huu ujumbe wako naona kuna mtu unamhusu sema mnamgwaya ile mbaya kumpa live sababu hamumuwezi.
Btw kila la heri na kigodoro chenu,tusisikie tu kesi za kuiba glass za serena kwenye mapochi.
Mpaka sasa usajili uliobaki ni wa dirisha dogo........nI PRIVATE PARTY NA MMU IMEWEKWA! Hoteli kubwa ile TUMEKODI UKUMBI AND WE RESERVE RIGHTS TO ADMISSION :cool2::cool2: We hotelini ingia tu si pesa yako bwanaa ila UKUMBINI SORRY STANDARDS ZIMEZINGATIWAAAA!
Mhhhh yashakuwa ayo?
Mimi nilikuwa nanukuu tu comments za thread flani baada ya kigodoro cha escape, huu ujumbe wako naona kuna mtu unamhusu sema mnamgwaya ile mbaya kumpa live sababu hamumuwezi.
Btw kila la heri na kigodoro chenu,tusisikie tu kesi za kuiba glass za serena kwenye mapochi.
Naona unatuvunjia heshima mkuu.Tuombe radhi bana......
Ukijiona mtu wa kusikiliza sikiliza majungu ujue wewe ndo una walakini kuji associate na LOOSERS, give them 2 days na wewe msikilizaji utakuwa kwenye MENU ya majungu! ITS ABOUT TIME PEOPLE SHOULD MIND THEIR BUSINESS!
Mimi sina walakini,ila napenda kusikiliza majungu sababu ya uswahili wangu mimi ni mswahili haswa, mtoto wa dog ukiniona km wakishua....na kujiassociate na losers ni kitu cha msingi, coz mie ni mtu wa kawaida sn so sichagui class ya kuinvolve nao....ndio maana admirer kama wewe nakuskliza pia.
mimi na majamaa zangu fulani kipindi cha ujana wetu tulikuwa tunalitumia sana hilo kwenye utambulisho wetu.......
tunafahamiana nini mkuu?
Whateveeeeeeerrrrrrrr! Maisha ni yako chaguo ni lako!Mimi sina walakini,ila napenda kusikiliza majungu sababu ya uswahili wangu mimi ni mswahili haswa, mtoto wa dog ukiniona km wakishua....na kujiassociate na losers ni kitu cha msingi, coz mie ni mtu wa kawaida sn so sichagui class ya kuinvolve nao....ndio maana admirer kama wewe nakuskliza pia.