Are you invited?

Are you invited?

Hahahaa shem bhana yaishe
Af shem unamaanisha mimi najipendekeza? Maana ujumbe wako nimejibu mimi

Browser yangu nzuri sana inagoma kumquote anti Matty.

Eniwei apo nimekutolea mfano tu shem wala sina shida na wewe.

Anti Matty eee unapenda kukatika sanaeee. Maana uneona namkatikia Mtambuzi unanionea wivu.

Anyway arguing with you will drag me down to ur level sir..eeeerrrr sorry, madam!

Alamsik!

Muulize mtambuzi kwanini hii habari pamoja na kuituma PM kaiweka na hapa. Unakuwa mbea kuliko mkeo...grow up stupid young man!!!
 
Go to hell Jinga wewe.
 
duh yaani pamoja na kukumbushia kwa nguvu zote sijawa-mentioned!!!!! kweli JF ina wenyewe.........

Usijali RRONDO Mtambuzi amesema na wengineo unajua si rahisi kumkumbuka kila mmoja kwa haraka, hata sisi ambao hatukutajwa hapa mioyoni mwao na kwenye hisia zao tumo, tujitahidi tusiikose hii full shangwe panapo majaaliwa
 
Last edited by a moderator:

Huyo RRONDO nilimtumtumia PM lakini hasomeki
 
Last edited by a moderator:
Mhm kweli inoghile

nimeimisoo hii maikitu yaani wee acha tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom