Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,109
- 53,626
wacha nifosi kingi...tutabanana humu humu..
Nasubiri wakupe cha mbavu
wacha nifosi kingi...tutabanana humu humu..
ni shidaaaaaaaa wallahi!
Pesa sabuni ya roho...bata batani
Kaka Mtambuzi mimi huwa situmii hayo makitu uliyoweka hapo..nina aleji! Naomba uangalie alternative food kwa ajili yangu tafadhali..
Plus fanya booking ya room 333...!!!
Mtambuzi ni receptionist wa hotel? Je una uelewa wowote kuhusu buffee?
Check online confirm booking then debit master yako yako.
Choice ni ya yako unataka Presidential suite, delux, luxury or what?
Kulikuwa na ulazima gani wa kuongea yote haya? Af sijapata connection ya kile alichosema Mentor na hiki ulichokiandika au mi kilaza?
Shem usimseme sana...anti Matty! Huwa anajua kupasha sana...
Rudia kusoma upya utaelea kama nia yako ni kuelewa.
Taratibu za booking za rooms za hotel ziko na wazi na taratibu za restaurant chakula ni chaguo la mlaji pia. Nini hujaelewa hapo?
Shem usimseme sana...anti Matty! Huwa anajua kupasha sana...
duh yaani pamoja na kukumbushia kwa nguvu zote sijawa-mentioned!!!!! kweli JF ina wenyewe.........
Mtambuzi ni receptionist wa hotel? Je una uelewa wowote kuhusu buffee?
Check online confirm booking then debit master card yako yako.
Choice ni ya yako unataka Presidential suite, delux, luxury or what?