Are spies made or born?

Halafu pia ujue sometimes wakati wanapokufuatiliwa, unaweza kupewa, kuingizwa kwenye wakati mgumu bila Wewe kujijua kuwa that situation kuna mtu kaisababisha kwa makusudi ili waone the way unavyopambana nayo, wajue unawafaa, wakupotezee au wajiandae kukuongezea ubora zaidi baadae, na unaweza kuwa unafuatiliwa na watu tofauti tofauti at the same time ambao wamo huko na wako close na Wewe au wamefanywa/ wamewekwa wawe close na wewe, eg, una rafiki yako uliyenaye karibu yumo humo, mwalimu wako, jirani yako na hata mpenzi wako, so kila mtu atapata information zako kutokana na ukaribu wake kwako, pata picha unapojiachia kwa mpenzi wako, unampa information zako kibao, unaambatana naye sehemu kibao, anajua mambo yako kibao, kwa kuwa unamweleza, kama yuko huko na ndio katumwa kwako, atakujua much, so akipeleka information au hata yeye mwenyewe ataanza kujua kama unafaa au huwafai, hawa watu wamo mpaka viongozi wa dini, so, unaweza ukawakuta Sehemu za ibada, Bank, Mashuleni, Mahospitalini( hasa doctors), mwengine anaweza kujifanya kama amejiajiri, kumbe yuko huko( wafanyabiashara),hata wasanii pia wamo n.k, nakumbuka kuna siku kuna mtu aliniambia huko Russia ilikuwa mtu anaweza hata kukuoa au kuolewa na wewe ili akuchunguze, yuko kikazi, so kwa watu hwa usije ukamwona mtu barabarani yuko shaghalabhaghala, mchafu mchafu, kabeba mifuko michafu michafu/ viroba vichafu/makopo, ukamchukulia poa, wengine wako kazini ati, tena serious job, sio vibaka.




*****Si unakumbuka kwenye History ya Africa, traders, missionaries na explorers, walishirikiana ili kupata information ili waweze kuiexploit na kuicolonize Africa through kuwa karibu na Wazawa, kushirikiana nao, kuwapeleleza. Walifanya biashara na Wazawa, waliwasomesha, waliwaingiza kwenye Imani mpya , kuwapa elimu ya kigeni ili kuwaweka karibu nao, kuwachange the way walivyokuwa ili waweze kuwasaidia/ kuwatumia kuexploit their African countries, kwa manufaa yao (Wazungu), tulikuwa kama typists n.k but kwa bahati mbaya hayo waliyotuletea yalitubadilisha pia tukawa wapya,tukaendana na Dunia walau, tukajitambua zaidi walau(wao hasa walidhamiria kujinufaisha wao), ...lakini hawa wa kwenye nchi yenyewe, Spies Wazawa, wanatafutwa kufanya yaliyo na faida kwa nchi zaidi, au waweze kufanya yaliyo na faida kwa jamii kwa ujumla( more Countries), eg. kutafuta information za Al-Shabaab na kudeal nao, but wengine bado wanatumika kutafuta information kwenye nchi fulani ili wajue namna ya kuzicontrol/ kuzitibua( kuibua magomvi, fujo, vita) / kuzirubuni ili wachukue wanavyovitaka vitakavyowapatia faida kwenye Nchi zao wao na kuwaendeleza kiuchumi ili waweze kufanya maendeleo zaidi kwenye Nchi zao while nyie mnabaki hohe hae, labda wale wachache wenu wanaoshirikiana nao( wanawasaidia kutimiza azma yao kwa ujinga wao, uoga au kurubuniwa) ndio wanaofaidika kiasi but not kushinda wao.
Information wanazozitaka kutoka kwako ni kama zipi ili kujua kwamba wewe unafaa au hufai?
 
Dah hii imenikumbusha zile business school of thoughts ya kama Enterprenuers are born or made! Hapo ndo utapata jibu using same facts!
 
Uzi mzuri lakini mna uharibu na Comments zisizo na msingi kabisa, Hata kama ni ku update uwe Juu ila sio kwa style hio kwa kweli, Uacheni ili na sisi wengine tupate kujifunza
 
Mkuu wale jamaa kwa nchi za wenzetu huwa wanazaliwa wakiwa na baadhi ya attributes/tabia fulani hivi kisha wanaongezewa tradecraft/ujuzi wa kimafunzo...baada ya hapo weeee wanakuwa ni moto wa kuotea mbali...!
Mbona unatuvuruga sasa mzee? Unauliza swali afu unatoa maelexo tena? Majibu utakuwa unayo!
 
Katika uasilia, angalia mfano wa wadudu wadogo mfano sisimizi na jamii yake, nyuki nk.

Utajifunza kuwa askari huzaliwa.

Ukiwa na bahati ukaonwa na kutimiza vigezo vingine utapatiwa mafunzo...

Tunao 'askari' wengi mitaani lakini hawakubahatika kuonwa au kupata mafunzo ama vigezo havikukamilika lakini ikiwaona tu utahisi wangefaa kazi ya uaskari...

Kwa 'spies' vivyo hivyo lakini lazima uwe 'flexible' na 'little more intelligent'. Vyoye hivi ni kwa kuzaliwa, mafunzo huwaongezea uweledi...

Kujibu swali, '...spies are born and made...'

However: Katika nchi corrupt kuna uwezekano wa kukuta spies wasiostahili, yaani ambao IQ zao zipo chini sana...
However: Katika nchi corrupt kuna uwezekano wa kukuta spies wasiostahili, yaani ambao IQ zao zipo chini sana...
KATIKA NCHI ZETU HIZI HILO TATIZO NI KUBWA SANA TOFAUTI.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom