Maisha ni mchezo unaotucheza sisi (Life is a game that plays us)

Eli Cohen

JF-Expert Member
Jun 19, 2023
1,309
4,017
Labda bado hatuajelewa thus kupelekea kuchanganya dhana ya kuwa in control inamaanisha kuwa na control ya maisha yetu au kuwa in control kwa yalio ndani ya mipaka yetu.

Wengi tunasemaga maisha ni mchezo tunaocheza sisi, i dont think so.

Nafikiri hatuwezi kuwa na control ya maisha bali tunaweza ku-control yale yalio ya chini ya uwezo wetu kupelekea ku-influence mabadiriko ndani yetu kutokana na mtazamo wetu wa kibanadamu ila sio maisha yetu.

We are coded into sytems of rules, masharti, misingi na mienendo ambayo tumeikuta na wala hatukufundishwa na mwanadamu mwenzetu. Hii misingi mingine ya kisasa imedizainiwa ndani ya misingi original ili tu mamlaka zipate umashahuri na fursa za kutengeneza pesa.

We are coded into believing kuwa kuna divine power ilio juu na inapaswa kuheshimiwa kuliko chochote. Ndio maana hakuna mtu hapa duniani regardless ya dini au hana dini lazima awe na divine power ambayo anahisi ndio mkuu wake.

Kwa hio, tupo katika safari ambayo chochote ambacho force na energy za maisha zikiamua ndivyo hivyo itavyokuwa na hauwezi kufanya chochote kile.

Its crazy that hauwezi fikiria kwa nini kuna limits kila kona ya haya maisha yetu. Utaangalia angani lakini hauwezi angalia zaidi ya nje ya anga, vitu vinavyokuongoza katika kifo ni vingi na viko karibu zaidi ya vile vinavyotuongoza katika raha.

We fail more than we win ndio maana wajanja wakaja na monetary sytem na bullshit na supply and demand ili tu watumie hii fursa ya "we fail more than we win" na sasa ni mabilionea in terms of human possessions.

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
“We fail more than we win” hapa unamaanisha binadamu aliumbwa ku-fail kwa asilimia kubwa kuliko ku-win?

Ukifanya utafiti wa kiuchumi hapa Tanzania na hata duniani kote watu wenye matatizo ni wengi sana kuliko wenye furaha na hata wenye furaha ni swala la muda tu wanarudi kuungana na wenye matatizo.

Je ni nature ndo inatu-force tuishi kwenye mfumo huo wa shida na taabu?
 
why shetani pia amepewa/ana power ya kutoa fahari ya dunia hii

Mathayo 4:9​

kisha akamwambia, “Nitakupa hivi vyote kama ukinisujudia na kuniabudu.”

Huyu jamaa yupo pia akisubiri aabudiwe
 
“We fail more than we win” hapa unamaanisha binadamu aliumbwa ku-fail kwa asilimia kubwa kuliko ku-win?

Ukifanya utafiti wa kiuchumi hapa Tanzania na hata duniani kote watu wenye matatizo ni wengi sana kuliko wenye furaha na hata wenye furaha ni swala la muda tu wanarudi kuungana na wenye matatizo.

Je ni nature ndo inatu-force tuishi kwenye mfumo huo wa shida na taabu?
Very sad

Back
Top Bottom