Are spies made or born?

Special thread for discussing espionage business and other closely related issues:

Bila shaka wote mu wazima wa afya humu JF.

Kama ambavyo heading inavyojielezea hapo juu ni swali nililokuwa nikijiuliza kwa muda mrefu sasa kama uwezo wa hawa watu (spies/intelligence officers) huwa ni wa mafunzo au wanazaliwa wakiwa tayari ni spies?

Ninawasilisha mjadala.

Naomba kuwasilisha

SPIES ARE BORN AND MADE!
Ushushu/Ujasusi ni Kazi inayosisimua sana hasa kama wewe sio shushushu au hujawahi kuwa Jasusi! Kila mtu hutamani kuwa jasusi/Mpelelezi! Lakini watu ambao walishakuwa Mashushushu wanaichukia sana kazi hiyo! na kwa asilimia kubwa wengi huwa hawamalizi vema!
Spies are born and also made! katika Kuumbwa kwa Ulimwengu Upelelezi ni Taaluma adhimu na ya kale sana baaada ya Ukahaba!
Mashushu wengi huzaliwa na Kipawa cha kunusa na kudadisi hiki na kile! kumbukumbu nzuri,Utiifu na Uzalendo juu ya taifa lake! Watunza siri! na n.k.
Baada ya kuona mashushu waliotumwa na taifa lao la israel kwenda kuupeleleza mji wa Yerico na kujipenyeza kwa siri na Kufichwa kwa kahaba Rahabu na kurudisha taarifa kamili juu ya Ulinzi wa mji na ukubwa wa jeshi na hali ya watu wa Yerico! jamaa walirudi salama na kufanikisha ushindi dhidi ya Mji huu hapa unajifunza kuwa:-
1. Kuna Professional spies ambao huzaliwa na kuendelezwa au kuwekwa katika kazi hii kutokana na Uwezo na mafunzo waliyoyapokea au Wakati mwingine sio mafunzo isipokuwa Unapewa Instructions za kufuata ili kupata habari zinazohitajika.
2.Professional Spies wanaweza kurecruit mtu yeyote akawasaidia katika kukamilisha mission zao! ( mfano Rahabu-Mata Hari wa wakati ule) hakuwa spy ila alishawishiwa akakusanya taarifa nyeti za nchi yake ama kwa kuulizwa au kwa kutumwa kwenda sehemu ambazo Wale majasusi wasingeweza kufika bila kushtukiwa). Na wengi humu yawezekana mmetumika maeneo yenu ya kazi au biashara kuwa chanzo cha Intel bila nyie kujua au kwa kujua baadae.

Kwa muda mrefu majeshi mengi Ulimwenguni yana vitengo hivi nyeti vya Ujasusi kwa ajili ya kupata taarifa mahususi za kusaidia ushindi dhidi ya Adui! Tangu ustarabu wa Uajemi, Uyunani,Urumi hata mpaka nyakati zetu. Ingawaje wengi walipatikana kutokana na Vipawa ( Born spies) na baadae ikawa Taaluma rasmi na Nyeti kwa kusaka watu wanaoweza kutumika katika taaluma hii.(made spies).

Tofauti kati ya Born spies na Made spies ni ndogo sana! Born spies hata baada ya Kupata mafunzo maalum wana kitu cha ziada kinaitwa Sixth Sense au Jicho la Tatu au 'Machale' Hiki ndicho kinachowafanya wasurvive tofauti na kundi la pili.
Fasihi nyingi ya Ujasusi inayosisimua ni ile ya katikati ya Vita vya kwanza na vya pili vya dunia!na wakati wa vita baridi hapa kuna fasihi lukuki ambayo yaweza kukuacha mdomo wazi kutokana na matukio mazito ya kusisimua na kuogopesha ambayo mengi ya hayo yameleteleza kuanika taaluma hii katika sinema na vitabu mbalimbali.
Ifuatayo ni Orodha ya Born Spies ambao wamekuwa Magwiji walioweza kuacha historia ngumu duniani.

1. Wild Bill ( William Donovan) Alikuwa askari wa vita vya kwanza vya dunia aliyesaidia sana kujenga Taasisi nguli ya Ujasusi Marekani CIA)
2.Sir William Stevenson - Baba wa Ujasusi aliyeishtukia Ujerumani kuwa inajiandaa na Vita wakati dunia nzima haikujua hilo! alikuwa mfanyabiashara na mvumbuzi mahili wa picha. Alisaidia kuanzishwa kwa Office of Staregic Services(OSS) yaani mama yake CIA pamoja na SIS au baadae MI5.
3.Dai Li - Master spy! Huyu ndio baba wa ujasusi wa china,
4. Rafi Eitan- Mbabe mkuu aliyefanya mabadiriko ndani ya Mossad aliyefanikisha kukamatwa kwa muharifu wa kivita Adolf Eichman huko amerika kusini.
5.Yuri Adropov - Aliimarisha sana KGB hata baada ya majasusi wengi wa urusi kukimbilia Magharibi.
Hawa ni baadhi ya Nguli katika taaluma hii ambayo historia inawatambua kama Born Spies.

Born Spies ( Yani wale waliozaliwa na Kipawa hiki cha Ushushushu) ni watu makini sana,lakini udhaifu wao mkubwa ni pale anaposhindwa kuishi Itikadi anayoiamini au kugundua kuwa anatumika si kwa faida ya taifa lake kama itikadi inavyosema( ideology) na hili huendana na Uzalendo kwa nchi yake! Wakibadili mtazamo huwa ni watu hatari sana kwa nchi zao.
Hawa ni baadhi ya Born Spies ambao walistuka kuwa wanawatumika Watu na sio Taifa lao!kwa kupima itikadi na Imani ya taifa lake na kuona kuwa Si kwa manufaa ya Taifa bali ni kwa faida ya kikundi kidogo cha wanasiasa.
Sifa Kuu ya Jasusi ni Uzalendo na Uaminifu kwa Itikadi ya Nchi yake. Akishindwa Kuamini Itikadi yake basi anaweza kuleta madhara makubwa kwa nchi yake.
1.Russel H. Adrian ( Kim Philby) alifikia nafasi ya juu kabisa ya uongozi katika shirika la Kijasusi la Uingereza SIS, lakini kumbe ingawa alikuwa born Spy lakini Moyoni mwake akiwa na wenzie wanne Chuo Kikuu Cha Trinity alishawishika kuwa Ujamaa ndio sera sahihi itakayoleta Usawa na Maendeleo katika jamii! Hivyo alijiunga na Shirika la Kijasusi la Uingereza baada ya Kumspot na Kumuona anafaa kumbe tayari Warusi walishamuona mapema na kumrecruit. yeye na wenzake Donald McLean na Guy Burgess walileta madhara ambayo hayajawahi kutokea katika ulimwengu wa Ujasusi katika karne ya ishirini.

Wengine ni lile kundi lililokuja kujulikana kama Soviet Defectors! Yaani Majasusi wa kirusi waliokimbilia magharibi kwa kuona Mbali (sixth Sense) kuwa Ukomunisti ni kansa mbaya na danganya toto inayokusudia kulinda kundi la warusi wachache. Anatoly Golitskin,walter krivitsky,Boris Bojanov,Oleg Kalugin,Alexander Litvinienko na nk.
Hawa walitoroka Urusi na Kukimbilia Nchi za Magharibi ingawaje si wote waliokimbizwa na itikadi wengine ni Maisha magumu na shauku ya kula bata Ulaya na marekani.
Kifupi Jasusi haaminiki iwapo Itikadi yake na mapenzi kwa nchi yake hayaeleweki.

TANZANIA
Mpaka kufikia 1996! Hakuna popote pale katika nyaraka za serikali zinaonesha kulitambua Jeshi hili Adhimu!la Usalama wa taifa, Mpaka pale Mzee Mkapa alipopitisha Sheria bungeni ya kulitambua kuwa Jeshi rasmi kisheria.TISS
Kabla ya hapo liliendesha shughuli zake nyingi off book ingawaje kulikuwa na RSO Na DSO kote nchini bado shughuli zao zilikuwa siri kubwa .Ingawaje liliweza kutambulika kama walinzi wa Rais na Viongozi wengine wa serikali.
Wengi tulizoea na mpaka leo kuwaona Kwenye misafara ya Rais,Waziri Mkuu, na shughuli za kufanana na hizo.
Ni machache sana yanayojulikana juu yao! ni stori za hapa na pale! Kukosekana kwa maandishi na Simulizi za kifasihi pia kumechangia sana hawa mabwana kutoeleweka kabisa kwa sababu sheria za nchi ni kali juu ya uandishi hata kuigiza shughuli zao (Rejea Sheria ya 1970 ya kutunza siri).
Wamebaki kuwa idara nyeti na Kujiunga kwenye Idara hii bado ni hadithi za hapa na pale;
Lakini sifa zao ni zilezile ya kwanza ni Uzalendo kwa nchi yako! Uamini katika itikadi(Ujamaa) Inasemekana Huanza kutafuta agents toka mashuleni na vyuoni mpaka makazini.
Sifa zingine ni:-
-Uaminifu
-Usiri
-Akilli za ziada ( intelligence)
-Upole
Wengi huchukuliwa majeshini,(Imran Kombe,Dr.Hassy Kitine) wengine makazini na vyuoni ( Mzee A. Mahiga,Zoka na Bwana Lyatonga Mrema) Hawa ni Official Covers hawa huangukia kundi moja na Ma RSO na Ma DSO. Wapo wale mbao ni Non Official Covers sasa hawa wengi tunakula nao na kulewa nao! Field Agents ( hawamaaminiani hata kidogo) The spy has no friends.
Shule yao ni Siri, wala haijulikani ilipo! Kati ya vitu ambayo wanatunza sana sana ni pamoja na hili,ni kama Wamarekani wanavyotunza shule zao za Ujasusi yaani Langley aka The Farm au Warusi Lubyaka na kwingineko!
Ni Jeshi la pili hapa Tanzania Kubebeshwa lawama (allegations) baada ya polisi kutokana na utendaji kazi wao! Ambao wengi tunaudhania tu.

Lakini ni Jeshi muhimu sana katika ustawi wa nchi yeyote ile duniani! Kwa sababu hawa ndio jicho la Kumulika na kuonesha dira na muelekeo wa taifa kiuchumi,Kiulinzi na Kiutawala.Mataifa mengi duniani yameendelea baada ya kuwa na Jeshi Imara la Ujasusi,mfano Israel-Mossad/Aman,USA-CIA/NSA,UK-MI5/MI6,USSR -KGB,India -RAW na nk.
TISS Wamefanya Kazi kubwa sana wakati wa Mfumo wa chama kimoja! wamepambana na Wahajumu uchumi,WAHAINI,Majasusi hasa toka Mataifa hasimu kama vile Afrika ya kusini(BOSS) wakati wa ubaguzi wa rangi na kuilinda mipaka yetu vema,Wakati wa Vita vya Kagera SRB(Uganda) na Majasusi wa kireno.
Mwaka 2005 hili tukio nililishuhudia Mkoa fulani, walimsaidia Mgombea Udiwani wa chadema aliposingiziwa anakusanya kadi za wapinga kura kwa rushwa! Inasemekana hawa jamaa walimsave huyu mgombea baada ya kupeleka scene nzima polisi kuwa ni mgombea wa CCM ndiye aliye cheza huo mchezo na si mgombea wa chadema.

Leo Ulimwengu umesonga mbele zaidi kujikita katika Ujasusi wa Kiuchumi(Economic espionage) na Ujasusi wa kiteknolojia ya(Cyber Espionge).
Changamoto ililonalo jeshi hili ni pale matukio lukuki ya Uhujumu uchumi na Wizi serikalini na mauji yasiyoeleweka ya viongozi na raia yanaposhamili,uteuzi holela wa viongozi wenye vituko katika ofisi za umma ( Je vetting ya uhakika inafanywa na hawa wataalam?) na pale tunapobakia nyuma katika ushindani wa kiuchumi na nchi majirani! Hapo ndipo tunarudi katika swali la Msingi la Uzi huu Je Spies are they born or Made? Spies are both Born and Made! Are they Really Working for national interests? or saving politicians interests?

Poleni kwa kuwachosha.
Mnabuduhe
 
SPIES ARE BORN AND MADE!
Ushushu/Ujasusi ni Kazi inayosisimua sana hasa kama wewe sio shushushu au hujawahi kuwa Jasusi! Kila mtu hutamani kuwa jasusi/Mpelelezi! Lakini watu ambao walishakuwa Mashushushu wanaichukia sana kazi hiyo! na kwa asilimia kubwa wengi huwa hawamalizi vema!
Spies are born and also made! katika Kuumbwa kwa Ulimwengu Upelelezi ni Taaluma adhimu na ya kale sana baaada ya Ukahaba!
Mashushu wengi huzaliwa na Kipawa cha kunusa na kudadisi hiki na kile! kumbukumbu nzuri,Utiifu na Uzalendo juu ya taifa lake! Watunza siri! na n.k.
Baada ya kuona mashushu waliotumwa na taifa lao la israel kwenda kuupeleleza mji wa Yerico na kujipenyeza kwa siri na Kufichwa kwa kahaba Rahabu na kurudisha taarifa kamili juu ya Ulinzi wa mji na ukubwa wa jeshi na hali ya watu wa Yerico! jamaa walirudi salama na kufanikisha ushindi dhidi ya Mji huu hapa unajifunza kuwa:-
1. Kuna Professional spies ambao huzaliwa na kuendelezwa au kuwekwa katika kazi hii kutokana na Uwezo na mafunzo waliyoyapokea au Wakati mwingine sio mafunzo isipokuwa Unapewa Instructions za kufuata ili kupata habari zinazohitajika.
2.Professional Spies wanaweza kurecruit mtu yeyote akawasaidia katika kukamilisha mission zao! ( mfano Rahabu-Mata Hari wa wakati ule) hakuwa spy ila alishawishiwa akakusanya taarifa nyeti za nchi yake ama kwa kuulizwa au kwa kutumwa kwenda sehemu ambazo Wale majasusi wasingeweza kufika bila kushtukiwa). Na wengi humu yawezekana mmetumika maeneo yenu ya kazi au biashara kuwa chanzo cha Intel bila nyie kujua au kwa kujua baadae.

Kwa muda mrefu majeshi mengi Ulimwenguni yana vitengo hivi nyeti vya Ujasusi kwa ajili ya kupata taarifa mahususi za kusaidia ushindi dhidi ya Adui! Tangu ustarabu wa Uajemi, Uyunani,Urumi hata mpaka nyakati zetu. Ingawaje wengi walipatikana kutokana na Vipawa ( Born spies) na baadae ikawa Taaluma rasmi na Nyeti kwa kusaka watu wanaoweza kutumika katika taaluma hii.(made spies).

Tofauti kati ya Born spies na Made spies ni ndogo sana! Born spies hata baada ya Kupata mafunzo maalum wana kitu cha ziada kinaitwa Sixth Sense au Jicho la Tatu au 'Machale' Hiki ndicho kinachowafanya wasurvive tofauti na kundi la pili.
Fasihi nyingi ya Ujasusi inayosisimua ni ile ya katikati ya Vita vya kwanza na vya pili vya dunia!na wakati wa vita baridi hapa kuna fasihi lukuki ambayo yaweza kukuacha mdomo wazi kutokana na matukio mazito ya kusisimua na kuogopesha ambayo mengi ya hayo yameleteleza kuanika taaluma hii katika sinema na vitabu mbalimbali.
Ifuatayo ni Orodha ya Born Spies ambao wamekuwa Magwiji walioweza kuacha historia ngumu duniani.

1. Wild Bill ( William Donovan) Alikuwa askari wa vita vya kwanza vya dunia aliyesaidia sana kujenga Taasisi nguli ya Ujasusi Marekani CIA)
2.Sir William Stevenson - Baba wa Ujasusi aliyeishtukia Ujerumani kuwa inajiandaa na Vita wakati dunia nzima haikujua hilo! alikuwa mfanyabiashara na mvumbuzi mahili wa picha. Alisaidia kuanzishwa kwa Office of Staregic Services(OSS) yaani mama yake CIA pamoja na SIS au baadae MI5.
3.Dai Li - Master spy! Huyu ndio baba wa ujasusi wa china,
4. Rafi Eitan- Mbabe mkuu aliyefanya mabadiriko ndani ya Mossad aliyefanikisha kukamatwa kwa muharifu wa kivita Adolf Eichman huko amerika kusini.
5.Yuri Adropov - Aliimarisha sana KGB hata baada ya majasusi wengi wa urusi kukimbilia Magharibi.
Hawa ni baadhi ya Nguli katika taaluma hii ambayo historia inawatambua kama Born Spies.

Born Spies ( Yani wale waliozaliwa na Kipawa hiki cha Ushushushu) ni watu makini sana,lakini udhaifu wao mkubwa ni pale anaposhindwa kuishi Itikadi anayoiamini au kugundua kuwa anatumika si kwa faida ya taifa lake kama itikadi inavyosema( ideology) na hili huendana na Uzalendo kwa nchi yake! Wakibadili mtazamo huwa ni watu hatari sana kwa nchi zao.
Hawa ni baadhi ya Born Spies ambao walistuka kuwa wanawatumika Watu na sio Taifa lao!kwa kupima itikadi na Imani ya taifa lake na kuona kuwa Si kwa manufaa ya Taifa bali ni kwa faida ya kikundi kidogo cha wanasiasa.
Sifa Kuu ya Jasusi ni Uzalendo na Uaminifu kwa Itikadi ya Nchi yake. Akishindwa Kuamini Itikadi yake basi anaweza kuleta madhara makubwa kwa nchi yake.
1.Russel H. Adrian ( Kim Philby) alifikia nafasi ya juu kabisa ya uongozi katika shirika la Kijasusi la Uingereza SIS, lakini kumbe ingawa alikuwa born Spy lakini Moyoni mwake akiwa na wenzie wanne Chuo Kikuu Cha Trinity alishawishika kuwa Ujamaa ndio sera sahihi itakayoleta Usawa na Maendeleo katika jamii! Hivyo alijiunga na Shirika la Kijasusi la Uingereza baada ya Kumspot na Kumuona anafaa kumbe tayari Warusi walishamuona mapema na kumrecruit. yeye na wenzake Donald McLean na Guy Burgess walileta madhara ambayo hayajawahi kutokea katika ulimwengu wa Ujasusi katika karne ya ishirini.

Wengine ni lile kundi lililokuja kujulikana kama Soviet Defectors! Yaani Majasusi wa kirusi waliokimbilia magharibi kwa kuona Mbali (sixth Sense) kuwa Ukomunisti ni kansa mbaya na danganya toto inayokusudia kulinda kundi la warusi wachache. Anatoly Golitskin,walter krivitsky,Boris Bojanov,Oleg Kalugin,Alexander Litvinienko na nk.
Hawa walitoroka Urusi na Kukimbilia Nchi za Magharibi ingawaje si wote waliokimbizwa na itikadi wengine ni Maisha magumu na shauku ya kula bata Ulaya na marekani.
Kifupi Jasusi haaminiki iwapo Itikadi yake na mapenzi kwa nchi yake hayaeleweki.

TANZANIA
Mpaka kufikia 1996! Hakuna popote pale katika nyaraka za serikali zinaonesha kulitambua Jeshi hili Adhimu!la Usalama wa taifa, Mpaka pale Mzee Mkapa alipopitisha Sheria bungeni ya kulitambua kuwa Jeshi rasmi kisheria.TISS
Kabla ya hapo liliendesha shughuli zake nyingi off book ingawaje kulikuwa na RSO Na DSO kote nchini bado shughuli zao zilikuwa siri kubwa .Ingawaje liliweza kutambulika kama walinzi wa Rais na Viongozi wengine wa serikali.
Wengi tulizoea na mpaka leo kuwaona Kwenye misafara ya Rais,Waziri Mkuu, na shughuli za kufanana na hizo.
Ni machache sana yanayojulikana juu yao! ni stori za hapa na pale! Kukosekana kwa maandishi na Simulizi za kifasihi pia kumechangia sana hawa mabwana kutoeleweka kabisa kwa sababu sheria za nchi ni kali juu ya uandishi hata kuigiza shughuli zao (Rejea Sheria ya 1970 ya kutunza siri).
Wamebaki kuwa idara nyeti na Kujiunga kwenye Idara hii bado ni hadithi za hapa na pale;
Lakini sifa zao ni zilezile ya kwanza ni Uzalendo kwa nchi yako! Uamini katika itikadi(Ujamaa) Inasemekana Huanza kutafuta agents toka mashuleni na vyuoni mpaka makazini.
Sifa zingine ni:-
-Uaminifu
-Usiri
-Akilli za ziada ( intelligence)
-Upole
Wengi huchukuliwa majeshini,(Mzee Apson,Imran Kombe) wengine makazini na vyuoni ( Mzee A. Mahiga,Zoka na Bwana Lyatonga Mrema) Hawa ni Official Covers hawa huangukia kundi moja na Ma RSO na Ma DSO. Wapo wale mbao ni Non Official Covers sasa hawa wengi tunakula nao na kulewa nao! Field Agents ( hawamaaminiani hata kidogo) The spy has no friends.
Shule yao ni Siri, wala haijulikani ilipo! Kati ya vitu ambayo wanatunza sana sana ni pamoja na hili,ni kama Wamarekani wanavyotunza shule ya Ujasusi ya Langley aka The Farm au Warusi Lubyaka na kwingineko!
Ni Jeshi la pili Kubebeshwa lawama (allegations) baada ya polisi kutokana na utendaji kazi wao! Ambao wengi tunaudhania tu.

Lakini ni Jeshi muhimu sana katika ustawi wa nchi yeyote ile duniani! Kwa sababu hawa ndio jicho la Kumulika na kuonesha dira na muelekeo wa taifa kiuchumi,Kiulinzi na Kiutawala.
Wamefanya Kazi kubwa sana wakati wa Mfumo wa chama kimoja! wamepambana na Wahajumu uchumi,WAHAINI,Majasusi hasimu hasa toka Mataifa hasimu kama vile Afrika ya kusini ( wakati wa ubaguzi wa rangi) na kuilinda mipaka yetu vema.
Mwaka 2005 hili tukio nililishuhudia Mkoa fulani, walimsaidia Mgombea udiwani wa chadema aliposingiziwa anakusanya kadi za wapinga kura kwa rushwa! Inasemekana hawa jamaa walimsave huyu mgombea baada ya kupeleka scene nzima polisi kuwa ni mgombea wa CCM ndiye aliye cheza huo mchezo na si mgombea wa chadema.

Assante kwa andiko mijarrabu kabisa!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umefafanua sana
 
dah!

mara nyingi kunakuwepo na viashiria ambavyo vinaweza onekana tangu udogoni.
viashiria hivi vinaweza kuwa kutambuliwa na mtu wa familia ambaye tayari yuko kwenye system. ikitokea hivi na huyo mtu wa familia akaona utafaa basi anaweza akawa "anakulea" na kukujenga ili baadae iwe rahisi kukushawishi kuingia huko.

aidha viashiria hivi vinaweza kuonekana katika mfumo wa makuzi na elimu, mfano mwalimu wako, jirani yako, ndugu wa rafiki yako n.k.

pia wapo wataalamu kutoka ofisi kuu ambao nao wanajukumu la kutambua vipaji (potential candidates).

baada ya "kuonekana" unafaa inakuja ushawishi na kukujengea mazingira ya utakapo fuatwa na kuombwa kujiunga usisite kukubali. miaka ya awali chuo kikuu na jkt vilikuwa viwanja vya mawindo kwa watu wa "taaluma". mkufunzi kutoka makao makuu alikuwa na "warsha" ya siku moja na wanafunzi wa mwaka wa kwanza kuwaelezea umuhimu wa usalama hii ilikuwa ni mbinu ya kuwatayarisha wanafunzi kifikra ili wanapofuatwa wasisite kujiunga (ikumbukwe wakati huo chuo kikuu kilikuwa kimoja tu, hivyo hapo ndio palikuwa na jumuiko la wasomi wetu). idm mzumbe pia ulikuwa uwanja wa ajira(ingawa wakati huo haikuwa chuo kikuu)

kwa maneno mengine mtu anazaliwa na viashiria lakini viashiria hivyo lazima viboreshwe. usisahau kila sehemu hawa watu wapo kuanzia walimu, madaktari, wahandisi, wachumi, wahasibu, viongozi wa dini, wanasiasa nk. hata watu wasio na taaluma mahususi pia wapo. japokuwa kama alivyosema mchangiaji moja hapo juu sio kila mwenye viashiria ameajiriwa au ameonwa. wengine wanaviashiria husika lakini mazingira ya malezi/makuzi yao yamefanya wawe na viashiria vingine vyenye nguvu zaidi hivyo kuwa disqualify.

naamini nimekusaidia kidogo
Umekaribia kujbu...
 
ASSASSINATION
neno assasination linaaminika limetokana na neno "hashish"..hii ni dawa sawa na bange ambayo iliaminika kutumiwa na bwana mmoja anaitwa hasan-dan-sabah ambayo alikuwa akiitumia kuwapa motishawafuasi wake katoka kutekeleza mauaji ya kisiasa,kidini,na mengine kwa garama ya kutoa maisha yao wenyewe..
Kwa hiyo neno assassination lilitumika ktk kutekeleza mipango ya mauaji kwa mtu ambae hayupo katika serikali au kikundi flan ,au chama nk..lakini uwepo wake nje ya moja ya vitu tajwa hapo juu ni mwiba kwa watawala kwa kuwapinga kuwakosoa nk..na hivyo walio juu kutaka kumuonabkwa kumuua ili kuwapa nafas yabkufanya watakavyo na kwa nafasi kwani mkosoaji mkubwa anakuwa amepumzishwa milele..
Sasa basi katika kutekeleza mauaji ya kupangwa huwa hakuna mahali popotr pale ambapo maelezo huandikwa ya ya namna ya kuua mtu flan..watu wachache huhusika katika mpango huo,hakuna report itakayotoka baada ya zoezi kukamilika isipokuwa vyombo vya habar na mitandao itariport juu ya kilichotokea ktk hali ya kawaida..
..madaraja ya mauji..
Kwa kawaida mauaji ya kupangwa huwa na madaraja yake kulingana na mlengwa anaetakiwa kuuawa..iwapo mlengwa hajui kama kunanwatu wanfatilia na hana ulinnzi wowote basi zoezi zima la kumuondoa hujulikana kama "simple process"

Iwapo anaepaswa kufa anajua kuwa kunanwatu wanamfatili na maisha yake yako hatarin lakin hana ulinzi wowote wa kibinadam zaid ya ule wa kimungu ambao ni asili zoezi zima la kumueliminate huitwa "chase"
Kwa yule anaejua kuwa anatafutwa auawe na ana ulinzi zoezi la kumuondoa linaitwa "guaded"
Sasa basi iwapo muuaji nae itampasa kufa pamoja wakat anatekeleza tukio basi zoezi hilo lote litaitwa "lost"
Kama muuaji itampasa kutoroka mara baada ya kutekeleza mauaji zoezi zima litaitwa "safe process"..na hapa muuaji lazima awe mwangalifu ahakikishe haangukii mikononi mwa adui..
Lakini pia iwapo aina ya kifo anachopaswa kufa mtu anaetafutwa wauaji wanataka kionekane si cha kupangwa ila ni ajali au kifo cha kawaida basi zoezi zima litaitwa secret
..pia iwapo wauaji wanataka zoezi zima la mauaji lionekane galina mkono wa mtu zoezi zima litaitwa open..
Na mwisho iwapo anaepaswa kufa ana umuhimu mkubwa katika jamii na hivyo akifa itareact au akijeruhiwa watu watareact bas zoezi zima al kumuondoa lazima lionekane ni la kigaidi na hivyo litaitwa "terrorist"..
Sasa basi kwa mtu anaetaka kutekeleza amauji na atoroke lazima awe na sifa zifuatazo:.
Awe jasiri
Anaejiamini
Mwenye maarifa(intelligent)
Awe na shabaha
Ajue kutumia silaha kikamilifu
Awe na plan zaid ya ya moja katika kutelekeza shambulio
Lakni pia iwapo mtu anaepaswa kufa anatakiwa afe ba kifo chake kionekane ni cha kigaidi na gaidi atoroke lazima mtu huyo awe na ujuzi mkubwa kichwani..alijue vyema eneo litakakotekelezwa shambulio..asiwe na mawasiliano yoyote zaid sana anakuwepo mtu mmoja wa kumpa maelezo tena kwa mdomo na huyu ndo atafanikisha kutoroka kwa gaid..
Iwapo muuaji anapaswa kufa wakat akitekeleza mauaji lazma atafutww mtu ambaye ana imani au itikadi kali ya kidini,kisiasa nk..mara nyingi watu wa aina hii kisaikolojia huwa hawako sawa maana akili yake imetawaliwa na itikadi kwa hivyo ukimvalisha bomu na kumwambia ilipue sehem flan ..mara moja atatii..kitu kimoja kwa mtu wa aina hii lazima umuhandle very carefully..maana ni rahisi kubadilika..
Sasa kama yote hapo juu yamepangwa na wakubwa wameridhi kabisa juu ya kumuondoe mtu flan kinachofuata sasa ni kupanga mipango ya namna ya kutekeleza zoez zima..na hapa wauaji wataangalia aina yabkifo anachopaswa kufa wanaemuhitaji yaweza kuwa sumu,ajali,moto,risasi,ugonjwa nk kulingana na mtu wanatafuta yuko katika hali gani..anajua lama anatafutwa au la..ana ulinzi au la..
Kwa hiyo watamfatilia kwa kipindi flan ili wajue ratiba yake ya siku nzima,njia anazopota kila siku,watu anaokutana nao,vinywaji anavyokunywa nk..
Wakishajua yote hayo basi eneo la wapi watekeleze azima yao hupangwa,aina ya kifo hupangwa,mda,silaha nk..
Na kisha ni utekelezaji..

Nimelazimika kusema hayo maana huko tanzania kuna mtanzania amepigwa risasi kwa kile kilichielezwa kuwa yy ni adui wataifa..amenunuliwa na mabepari..na pia anaipinga serikali..ndugu tundu lissu..ukiangalia na kwa maelezo yadreva wake..wauaji walikuwa wamejipanga sawa sawa kumuondolea uhai..
Ni bahat nzuri Mungu amemponya maana mbeba maono huwa hafi mpaka maono yake yatimie..
Tundu alijua anawindwa lakini hakuwa na ulinzi
Wauaji walimfatilia tangu akiwa dsm mpa dodoma
Walipanga baada ya tukio watoroke..
Naweza kusema kwa risas zote 38 lwa mujibu wa alama za matundu kwenye gari lake, wauaji walijipanga kumuondoa na kisha kutoroka..kwa kuwa amepona na mpaka leo ni siku ya kumi yuko hai..wale waliopanga,kusimamia,kutekeza mauaji sasa wanafanya jitihada kubwa za ku-spine tukio zima..lakinj pia wakitisha raia wa kawaida wanaohoji kwa nini tundu lissu apigwe risas..nguvu kubwa hii ya kukamata hata mtu alievaa tishet yenye picha ya lissu ni dalili kwamba jambo hili lilipangwa na watu huko juu..
Wale waliopewa jukumu la kutaka muua lissu Mungu alihamisha uwezo wao ili kumuokoa lissu....walijiamini kupita kiasi..ukiangalia matundu ya risas kwa mtu makini utabaini mambo mengi kama vile
Hawakujipanga kwa maana ya kupata mafunzo ya kutosh
Kwa maelezo ya dreva lissu alikaa ndani ya gari kwa dk 20 kitu ambacho wauaji hawakuaminiaana nadhn wao plan yao ya kwanza ilikuwa ni kummiminia lissu risas atakapokuwa ameshuka kwenye gari..hivyo kitendo cha lissu kukaa ndanj ya gari kwa dk 20 kikahamisha plan ya kwanza ya wauaji..na hivyo kuanzia kumimina risas ovyo kuleekea kwenye gari la lissu..huku wakikosa shabaha..
Hawakuwa makini
Hawakuwa na maarifa(intelligent)..
Pongezi za dhat nampa lissu na dreva wake kwa kuchukua hatua stahiki wakat wakiwa ndani ya gari kitu ambacho kimeleta madhara madogo..
Dreva wa lissu angekuwa na silaha kwa amaelezo aliyotoa angeweza kuwauwa wale wahalifu..
Get well soon Lissu

By De'levis..
Vatican
 
Register my appreciation!!
 
Back
Top Bottom