Mbona bei ndogo sana hiyo? Buswelu viwanja ndo bei bei kidogo,Kuna eneo panaitwa Sahwa Iko ktk kata ya Buhongwa Kuna mradi mkubwa wa maji na viwanja vyake vingi vimepimwa waweza kwenda ujionee unless labda itakuwa mbali na kazini kwakoWakuu kwa wale wenyeji wa Mwanza mtanielewa, nilbahatika kupata kazi Mwanza na sina muda mrefu sana lakin leo nimeshangaa kwan niliongea na mtu mmoja wa Buswelu ili anitafutie ka kiwanja nami nijenge angalau ili niepukane na upangaji.
Cha ajabu nimeenda kuonyeshwa kiwanja sehem moja inaitwa Nyamadoke karibu na Nyamhongoro ambacho upana ni hatua 26 na urefu ni 30 ambapo kwa kujenga nyumba ya kawaida kinatosha lakin kichekesho ni kwenye bei naambiwa milion 1 na nusu hakuna maji wala umeme pia hakujapimwa.
Kwa kwel sikuamin macho yangu ikabid niulize tena nikaambiwa vle vle, nimechanganyikiwa mpaka sasa najiuliza sijui nichukue au niache na kama hali ndiyo hii sijui baada ya miaka 3 hali itakuwaje Mwanza kwa upande wa ardhi?
Ilikua 2014 mkuuMbona bei ndogo sana hiyo? Buswelu viwanja ndo bei bei kidogo,Kuna eneo panaitwa Sahwa Iko ktk kata ya Buhongwa Kuna mradi mkubwa wa maji na viwanja vyake vingi vimepimwa waweza kwenda ujionee unless labda itakuwa mbali na kazini kwako
Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
Hiv umefanya tathmini kweli hadi ukaja na malalamiko haya? 1.5M kwa 26 by 30 kwa miaka hii useme bei ni kubwa..!! Nikionacho hunadata juu ya mambo ya ardhiWakuu kwa wale wenyeji wa Mwanza mtanielewa, nilbahatika kupata kazi Mwanza na sina muda mrefu sana lakin leo nimeshangaa kwan niliongea na mtu mmoja wa Buswelu ili anitafutie ka kiwanja nami nijenge angalau ili niepukane na upangaji.
Cha ajabu nimeenda kuonyeshwa kiwanja sehem moja inaitwa Nyamadoke karibu na Nyamhongoro ambacho upana ni hatua 26 na urefu ni 30 ambapo kwa kujenga nyumba ya kawaida kinatosha lakin kichekesho ni kwenye bei naambiwa milion 1 na nusu hakuna maji wala umeme pia hakujapimwa.
Kwa kwel sikuamin macho yangu ikabid niulize tena nikaambiwa vle vle, nimechanganyikiwa mpaka sasa najiuliza sijui nichukue au niache na kama hali ndiyo hii sijui baada ya miaka 3 hali itakuwaje Mwanza kwa upande wa ardhi?
Ila ni kiwanja kidogo sana, ingawa Nyaska sasa hivi naambiwa pa kishua sana.Mwaka 2018 nilinunua sqm 340 Nyasaka centre kwa mil 8 kesho yake akaja mchaga akataka kwa 12mil nikachomoa uzuri palikuwa na vyumba 2 na sebule self full aluminium nikafanya marekebisho kidogo nikahamia umbali na barabara lami mita 70, barabara ya mtaa inapita nje kwangu kwakweli niliokota dodo kwenye muarobaini
Tena ni jirani na Bundesliga hapo ni kiwanja kidogo ila kina dhamani kubwa kutokana na mazingira kilipoIla ni kiwanja kidogo sana, ingawa Nyaska sasa hivi naambiwa pa kishua sana.
Wakenya wananunua sana viwanja Arusha kupitia ma baa maid hawara zaoNchi nzima hapa bongo ughali wa Ardhi upo Arusha,hicho jamaa anachosema m 1.5 huko unapigwa m 10-15 na watu hawaulizi punguzo.Inayofuata nafikiri ni Kilimanjaro.Hizo sehemu nazipend ila siwezi jenga huko,gharama mnoooo???
Kwa mtazamo wako, sasa hivi unadhani wapi panaweza kuwa "Nyasaka nyingine" ndani ya Mwanza watu wananunua huko?Tena ni jirani na Bundesliga hapo ni kiwanja kidogo ila kina dhamani kubwa kutokana na mazingira kilipo
Hicho kiwanja ni sqm 780 ni bei ya kutupa kabisa hiyo. Kama utokinunua ni PM namba ya muuzaji nimtaarifu jamaa yangu anichukulie nije kukiuza after 2 years kwa milioni 10Wakuu kwa wale wenyeji wa Mwanza mtanielewa, nilbahatika kupata kazi Mwanza na sina muda mrefu sana lakin leo nimeshangaa kwan niliongea na mtu mmoja wa Buswelu ili anitafutie ka kiwanja nami nijenge angalau ili niepukane na upangaji.
Cha ajabu nimeenda kuonyeshwa kiwanja sehem moja inaitwa Nyamadoke karibu na Nyamhongoro ambacho upana ni hatua 26 na urefu ni 30 ambapo kwa kujenga nyumba ya kawaida kinatosha lakin kichekesho ni kwenye bei naambiwa milion 1 na nusu hakuna maji wala umeme pia hakujapimwa.
Kwa kwel sikuamin macho yangu ikabid niulize tena nikaambiwa vle vle, nimechanganyikiwa mpaka sasa najiuliza sijui nichukue au niache na kama hali ndiyo hii sijui baada ya miaka 3 hali itakuwaje Mwanza kwa upande wa ardhi?
Kahama mbali sana mkuu 1 or 2km kutoka round about narabara ya 77Hivi Buhyila ni mbele ya Kahama?
Kama hukuchukua utakuwa na majuto sana. Ila kama ulichukua pongezi kwakoWakuu kwa wale wenyeji wa Mwanza mtanielewa, nilbahatika kupata kazi Mwanza na sina muda mrefu sana lakin leo nimeshangaa kwan niliongea na mtu mmoja wa Buswelu ili anitafutie ka kiwanja nami nijenge angalau ili niepukane na upangaji.
Cha ajabu nimeenda kuonyeshwa kiwanja sehem moja inaitwa Nyamadoke karibu na Nyamhongoro ambacho upana ni hatua 26 na urefu ni 30 ambapo kwa kujenga nyumba ya kawaida kinatosha lakin kichekesho ni kwenye bei naambiwa milion 1 na nusu hakuna maji wala umeme pia hakujapimwa.
Kwa kwel sikuamin macho yangu ikabid niulize tena nikaambiwa vle vle, nimechanganyikiwa mpaka sasa najiuliza sijui nichukue au niache na kama hali ndiyo hii sijui baada ya miaka 3 hali itakuwaje Mwanza kwa upande wa ardhi?
Nyamhongolo sehemu gani?Njoo nikuuzie kiwanja nyamongoro mkuuu kikubwa kizuri only 5m