Deadbody
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 4,291
- 6,693
Kuna kipengele cha wave 2 advance miaka hiyo pale wanapoongelea newton ring na zingine nilikuwa mtazamaji tuTrue physics ni inaendana na ukweli
Kuna kipengele cha wave 2 advance miaka hiyo pale wanapoongelea newton ring na zingine nilikuwa mtazamaji tuTrue physics ni inaendana na ukweli
"kitu kikizama nusu au chote kwenye ugiligili hukutana na kani mnyanyuo ambayo ni sawa na "uzito" wa ugiligili uliomwagika.Na hiyo ya kwangu ukiileta kwa kiswahili inasemaje mkuu?
Kiparis tunasema.... " Wekienda kuruka kianda uaghane na faya "....Ukitaka kuruka agana na nyonga
Ulivyoandika wewe, umetumia neno maji (water). Neno sahihi ilikuwa "fluid" ambalo kwa Kiswahili sanifu ni ugiligili.Kwa hiyo imekosewa au iko sawa
Amekosea kila kituUlivyoandika wewe, umetumia neno maji (water). Neno sahihi ilikuwa "fluid" ambalo kwa Kiswahili sanifu ni ugiligili.
Hiyo Hookes law umeikoseaHapa newton third law of motion states "To every action there is equal and opposite reaction" na Hooks law "provided that the elastic limit is not exceed the extension remain constant" ni miak zaid ya 20 imepita sijawahi kusahau vitu hivyo
ythyyiyyyhhyyyyhyfyyfyyhsyylyhyyfhwytycylthyfhyhiuyty6gyfh6sytfffh6ttttThird law of motion
Action and reaction are equal but opposite direction.
Hii pia kwakiswahili inasemaHapa newton third law of motion states "To every action there is equal and opposite reaction" na Hooks law "provided that the elastic limit is not exceed the extension remain constant" ni miak zaid ya 20 imepita sijawahi kusahau vitu hivyo
Yaani ndio umeandika?ythyyiyyyhhyyyyhyfyyfyyhsyylyhyyfhwytycylthyfhyhiuyty6gyfh6sytfffh6tttt
Inatakiwa uandike hivi " when a body is totaly or partialy immersed in fluid it experience an upthrust which is equal to the weight of fluid displacedWapi mkuu?
"When a body is totally or Partially immersed in water equal volume of the liquid is equal to the Volume of the water displaced"
Hii principle sijawahi isahau tangu kidato kilee sijui kwa nini ?
Wazee wa Physics ni law,principle au definition gani bado unaikumbuka mpaka leo ?
oi upo udom...??To every action there is an equal and opposite reaction"
Excellent!"when the body is totally or partially immersed in a fluid it experience an upthrust which is equal to the weight of the fluid displaced"
Hii ndio archmedes principle
Kwa kiswahili
"Kama kitu kitazamishwa chote au kiasi ndani ya ugiligili,kitakumbana na kani mnyanyuo ambayo ni sawa na tungamo ya ugiligili uliomwagika"
Ohm's lawWhen a body is totally or partially immersed in a liquid, the amount of liquid displaced is equal to the volume of immersed body
mbona ni mtengeneza vibatari mzuri tu hapa mtaani!We mtoa mada unaonekana ulikua vizuri sana kwa physics
Vip unaendeleaje na kazi yako ya urubani
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]