Archimedes's principle

Archimedes's principle

"when the body is totally or partially immersed in a fluid it experience an upthrust which is equal to the weight of the fluid displaced"

Hii ndio archmedes principle

Kwa kiswahili

"Kama kitu kitazamishwa chote au kiasi ndani ya ugiligili,kitakumbana na kani mnyanyuo ambayo ni sawa na tungamo ya ugiligili uliomwagika"
 
"The rate of change of momentum is directly proportional to the applied force, and takes the direction of the force", Newton's second law of motion.
 
"when the body is totally or partially immersed in a fluid it experience an upthrust which is equal to the weight of the fluid displaced"

Hii ndio archmedes principle

Kwa kiswahili

"Kama kitu kitazamishwa chote au kiasi ndani ya ugiligili,kitakumbana na kani mnyanyuo ambayo ni sawa na tungamo ya ugiligili uliomwagika"
Na hiyo ya kwangu ukiileta kwa kiswahili inasemaje mkuu?
 
Binafsi sikuambua kitu kabisa licha ya kusoma science class,
Ila kwenye Biology hasa topic ya Reproduction nilikuwa mzima kichizi
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] nilijua tu
 
"it is
impossible to know
simultaneously the exact
position and momentum of a
particle. That is, the more
exactly the position is
determined, the less known the
momentum, and vice versa."

Heisenberg uncertainty principle

Niliishika baada ya kupigwa vibao vya kutosha
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
haya mambo tulishayaacha darasani na kwenye makaratasi,sasa hivi tupo kwenye 'principle' ya 'money is first life is constant (MFLC)'
 
Na hiyo ya kwangu ukiileta kwa kiswahili inasemaje mkuu?
Yako ni inazungumzia uhusiano wa ujazo wa kitu kilichozamishwa na ujazo wa maji yatakayomwagika.

Wakati archmedes inazungumzia uhusiano wa uzito wa kitu na uzito wa maji yatakayomwagika

Uzito na ujazo ni vitu tofauti kabisa.
 
Land Alienation
Forced labour
..............
..............
..............
...,.........
Wale wa arts msijisikie vibaya kazi kwenu..
 
Back
Top Bottom