Funguka mkuu manake ukishindwa kueleweka jf hakuna mahali pengine duniani unaweza sema kitu ukasomekaKuna kila dalili ya kile tulichokuwa tunakiona kwenye nchi za kiarabu kukiona Zanzibar kwa sasa. Serikali isipochuwa hatua kwa sasa,UN wata impose no 'tear gas zone' maana baadae itaonekana madai ya ya kujitenga yana msingi.
Kuna kila dalili ya kile tulichokuwa tunakiona kwenye nchi za kiarabu kukiona Zanzibar kwa sasa. Serikali isipochuwa hatua kwa sasa,UN wata impose no 'tear gas zone' maana baadae itaonekana madai ya ya kujitenga yana msingi.
madai kujitenga yana msingi sana kama mtanganyika nawaunga mkono asilimia mia tatizo kuchinjina ...na kuchoma ofisi za ccm
mkuu huna haja ya kuweka hii...jina lako linaonekana kwenye kila post unayotumaTukopamoja.Bora tuwaache waende maana wamezidi kutusumbua-by oremus