Nkurukumbi
Senior Member
- Sep 6, 2013
- 196
- 78
Haya yamemtokea mshikaji wangu wa karibu,
Ilipotimu saa sita ucku tar.1/4/2014, jamaa akaona aitendee haki siku ya wajinga ikabidi amrushe roho mpenzi wake kwa kumtumia msg na hiki ndicho alichokiandika "My dear Happy tumekuwa wote kwa mda mrefu zaidi ya mwaka sasa wakati penzi letu linazidi kukua imenibidi nikueleze ukweli nimezaa na mdada mmoja wakati nasoma Tabora boys, mtoto ana miaka 3 kwa sasa mama yake ananipenda sana anataka tuoane hadi ananiweka katika mazingira magumu kuendelea kuwa na wewe" usiku huo jamaa hakujibiwa akajua baby wake amelala na asubuhi kabla hajaamka akapokea ujumbe huu "wewe mwanaume malaya nilikuwa na wewe kwa akili in short nilikuwa nakuchuna ninae wangu ninayempenda saaaana anaitwa Emily namba yake 0717****57 mpigie atakupa habari"
Jamaa baada ya kupokea ujumbe huo akacheka sana akijua demu nae kaamua kumApril fool.
Muda si muda ujumbe ukafuatiwa na picha 3 kwenye whatsap zikimuonyesha demu yuko na mshkaji kimahaba hapo jamaa akastuka ikabidi ampigie demu simu kuyamaliza demu akawa anakata mara 5 mfululizo soon ikaingia txt "wewe ----- achana na mimi kaf..we huko"
Wakati jamaa anaandika ka text kumweka sawa honey wake ikaingia msg nyingine whatsapp kufungua kumbe ni picha demu analamba koni ya mchizi hapo sasa jamaa akakubali matokeo ikawa ni kujibizana msg za matusi siku nzima.
Duh April fool kiboko njiwa wangu ameruka hayuko tena nami.