PostGE2025 Appreciation post kwako CDF Jacob John Mkunda

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Wanajeshi wa Tanzania wa miaka ya 90 kwenda nyuma walikuwa vizuri kwa kiasi fulani (japo siyo sana), tofauti na Hawa wa sasa hivi amabao wanaweza kuvunja matofali, kubaka, kuwarusha kichurachura wazee pamoja na kugawa vinyao vyao kwa marijali.
Lile lilikuwa JWTZ na hili ni lilelile likiwa limeboreshwa sana. Usijisahau.
Pia kumbuka kipindi ke baadhi ya waganda walikuwa wanatuunga mkono, la svyo tungenyooshwa kama rula.
Ni kujidanganya kudhani tuliungwa mkono nao ndo tukashindwa. Na hata wao walingwa mkono na Libya na JWTZ likashinda.
 
Kwa hali ilivyo huku mtaani huyo bibi haamini kama hawa ndio watz.

Anajifungia tu ndani kama nguchiro
Yaani bosi wa nchi ajifungie ndan 🀣 . ni vizuri pia kujipa moyo
 
Haujui hata ninaishi nchi gani wala ninafanya shughuli gani, endelea kuamini kuwa kila ambaye hajakupa majukumu ya kuwa uwe chawa wake ni maskini.
ata kama unaishi nje, kaliba yako ni ya mtoto maskini kutokana na content unazoandika! we uliona 29 tajiri kaadamana?
 
Badilisha kwenye jina la Samia na CCM uweke Lisu na chadema, then jiulize kama utawasapoti wakiteka na kuua watu huku wakiiba chaguzi zote na kufunga mwenyekiti wa CCM kwa uhaini
mhalifu akiuliwa ni faida kwa nchi
 
Lile lilikuwa JWTZ na hili ni lilelile likiwa limeboreshwa sana. Usijisahau.

Ni kujidanganya kudhani tuliungwa mkono nao ndo tukashindwa. Na hata wao walingwa mkono na Libya na JWTZ likashinda.
Hapa hamna hoja ya maana mkuu.

JWTZ ya sasa hivi imejaa mataahira na wafuga vitambi, full stop.
 
hizo kura feki ziliwekewa kumpigia nan na mlikua hamna mgombea, mm na wewe nan wa kua sensible?
 
Nimeku-ignore sitoona tena takataka zako kuanzia leo...
 
ata kama unaishi nje, kaliba yako ni ya mtoto maskini kutokana na content unazoandika! we uliona 29 tajiri kaadamana?
Hata ughaibuni tuliandamana ukitoa tu wafanyakazi wa kwenye embassy na wale wanaotoka kwenye familia za wanasiasa. Wealthy, rich, comfortable and working class wote tuliandamana na sponsors wenu walipata ujumbe ndiyo hao mdogomdogo wanamfinya shangingi minyonyo.
We’re pushing professionally.
 
hizo kura feki ziliwekewa kumpigia nan na mlikua hamna mgombea, mm na wewe nan wa kua sensible?
Hatukuweka mgombea mimi na nani, I’m a lone ranger na video za watu wanachomeka mtu mmoja zaidi ya kura miatano nimeweka sana humu JF sasa what more evidence do you want.
Kibibi kilevi cha Konyagi hicho kinakubalika kwa chawa, UVCCM, BAKWATA, Wazanzibari na mambwiga wasiojitambua.
 
cha kwanza wewe uko bongo, alafu hawakuandamana walienda kupiga kelele kwenye milango ya ofisi wako , kenya nao walikua na kenya walipigwa wakawekwa ndan na story yao imeishia apo! however katika wote walioandamana huezi kuta tajiri pale ni maskini tu ambao hawajielewi maaana kuan mwingine maskini lakini kakosa nyenzo tu ila ana kawazo cha kutoka,
 
Hapa hamna hoja ya maana mkuu.

JWTZ ya sasa hivi imejaa mataahira na wafuga vitambi, full stop.
Hayo ni maoni yako ila ukweli ni kuwa tuna jeshi zuri katika maeneo mengi ya kijeshi, ila kwasababu walidhibiti maandamano ya wezi na waharibifu wa mali unaliona taahira. Sasa ngoja siku ukitoka ikawa imepigwa marufuku uone utaahira waoπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
wanasema kama hauna kesi jeshi unaona kama linazurura tu 🀣
 
stupid, cry more
 
Maandamano ni vurugu ??

NChi inaongozwa Kwa mujibu wa katiba na Sheria sio mihemko ya viongozi.
Maandamo ni kosa kikatiba au kisheria ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…